...

Paah Lyrics by BAHATI


Pozze

Ni Bahati tena

Teddy B on the beat

Lala kitandani nifunike

Kwenye shuka nishike

Mahabani nizike (maamaa)

Basi mtoto nkumbate

Kwenye chombo nizame

Macho hai nikunyunyizie

Ooh unavyo nishika (paah paah)

Rudia (paah paah)

Ongeza (paah paah)

Mtamu baby

Ooh unavyo nishika (paah paah)

Rudia (paa paah)

Ongeza (paah paah)

Mtamu baby

Unafanya roho inagonga (paah paah paah)

Inagonga paah

Sijiwezi mnaniona (paah)

Inagonga (paah)

Unafanya roho inagonga (paah paah paah)

Inagonga paah

Sijiwezi mnaniona (paah)

Inagonga (paah)

Jameni mapenzi nahisia ayaa

Kumbe mapenzi ndio hivi aah

Sometimes mapenzi ni raha

Sometimes gharama

Kuna kupanda kushuka

Umenikamata nishika nikakamatika

Baby unavyokatika

Penzi lako limenipa sifa

Umenikamata nishika nikakamatika

Baby unavyokatika

Penzi lako limenipa sifa

Moyo umegonga paah paah paah paa aah

Moyo umegonga paah paah paah paa aah

My baby baby unafanya roho inagonga (paah paah paah)

Inagonga paah

Sijiwezi mnaniona paah paah paah

Inagonga paah

Ingaonga paah

Sijiwezi unaniona paah paah paah

Inagonga paah

Unafanya roho inagonga paah

Ooh sijiwezi unaniona paah paah paah

Moyo umegonga paah paah paah

Moyo umegonga paah paah paah

Baby wangu

Watch Video

About Paah

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Sharon Abonyo
Published : Jul 13 , 2025

More BAHATI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl