KING KAKA Ganji ya Love cover image

Ganji ya Love Lyrics

Ganji ya Love Lyrics by KING KAKA


Si uongo sisi hukosana (Oh no)
Na tunapopendana huwa pia kwa sana
Furaha yangu ni we, usinifukuze kwingine
Ju kwao si we nitapata

Pole babe nimetoka un-announced
Ni ganji flani napewa then nibounce
"Shida yako ni hiyo haukuwa hata na doh ya sapa
Ulikuwa wapi tangu saa saba?
We Mavo unajua life iko na choices 
Unajua shule sai washatupea notice
Mi sijui unaishi aje kwani
Duties zako hautii maanani 
MPESA yangu hautii maganji"

But si nilikushow vile ganji imepotea
Na hii mambo ya Corona inabidi naotea
"But you have a family kwani umesahau?
Mi naona umeanza madharau"

Ooh ati ju nimesota ama
Na time nilikuwa na ganji sana
"Si hio ilishapita ata kama 
Na kama itakuwa ngumu si nitahama
Na bado tunadaiwa madeni
Pande ya bedroom acha ata nisiseme"

Si useme tu Mary nakuona sana
Aki Mary unapendaga drama
Vile unabonga nimeshika nare
Niseme vile siku hizi umejisare
Na class u ain't listening
Mataya tu utadhani mi Seline
"Wow Mavo clap for youself"

Fanya hivi kuna simu inaingia
After this nitakupigia, Hallo "Hallo"

"Hi babe uko busy nikupange?
Si ukam home hivi nikukande
Najua kesho uko na fam ni Sunday
Leo ni siku yangu siku ya clande
Okey vile utawish, tumbukiza pia
Na vitonge kabla utoke tubonge
"

Sawa njiani vile kuna ndae mob
Wacha ata niweke simu flighy mode

Buda mbona unamislead huyu jamaa
Ndoa si mbaya hata kama ina drama
Ebu ona vile wameishi miaka mob na
Time kijana hakuwa na bob

Kama unatreat iwa poa huku kwingine
Si kiatu lazima aipime
Na amepewa shake ailime
Sa akipewa mbona amnyime

Hata mbele ya God hio si poa
Mwambie tu arudi kwa ndoa
Hizo ni shida ndogo ndogo atatoboa
Kwani noma ni aje atatoboa

Ah we wacha, hauwezi stop hii culture 
Madem wako wengi chali less
Plus kijana cheki ako na stress

Si uongo sisi hukosana (Oh no)
Na tunapopendana huwa pia kwa sana
Furaha yangu ni we, usinifukuze kwingine
Ju kwao si we nitapata

 

Watch Video

About Ganji ya Love

Album : Ganji ya Love (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Kaka Empire
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 18 , 2021

More KING KAKA Lyrics

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl