
Kosa Langu Lyrics
Kosa Langu Lyrics by KAYUMBA
Ooooh oooh
Mafia Geek kwenye pete
(Mafia)
Hivi kweli
Sina dhamani tena kwako
Mmmh niambie
Sitalipata tena pendo lako
Yale mapenzi mataa
Unayonipa sijui ni wapi nitayapata
Unafahamu hulka yangu
Sijazoea kutapatapa
Kosa langu
Hujaniambia bado
Wanyanyase wakejeli dharau
Zimepita kiwango
Kosa langu
Hujaniambia bado
Wanyanyase wakejeli dharau
Zimepita kiwango, oooh
Mama mia (Oooh oooh)
Ata nyuma hutaki kuangalia(Oooh oooh)
Oooh mama mia chonde
Ukiniacha nitaja jifia(Oooh oooh)
Mama mia (Oooh oooh)
Ata nyuma hutaki kuangalia(Oooh oooh)
Oooh mama mia chonde
Ukiniacha nitaja jifia(Oooh oooh)
Mama mia
Mama mia, ungeniambia makosa
Ili nijue ni wapi nilikukwaza
Ukimya wako unanitesa
Hizi stress zangu naona ukizipoza
Changamoto
Nami bado mtoto
Naumia maji ya moto
Mama ya utani ya mkogo
Mgongo
Wanijazia mikokoto
Na mitali zangu zote
Spare utaniunguza
Kosa langu
Hujaniambia bado
Wanyanyase wakejeli dharau
Zimepita kiwango
Kosa langu
Hujaniambia bado
Wanyanyase wakejeli dharau
Zimepita kiwango, oooh
Mama mia (Oooh oooh)
Ata nyuma hutaki kuangalia(Oooh oooh)
Oooh mama mia chonde
Ukiniacha nitaja jifia(Oooh oooh)
Mama mia (Oooh oooh)
Ata nyuma hutaki kuangalia(Oooh oooh)
Oooh mama mia chonde
Ukiniacha nitaja jifia(Oooh oooh)
Mafia
Watch Video
About Kosa Langu
More KAYUMBA Lyrics
Comments ( 1 )

Mkale nakukubari kayumba
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl