Bazenga Lyrics
Bazenga Lyrics by EQUE
Bazenga mama yao mi ni bazu
Maziwa fresh wakinyonya hizi chuchu
Nyi watoto mi nalinda game na rungu
Ju mko naso na mi chuo kikuu
Niligraduate kama Eque mkuu
Niko na masters ya kupenda dudu
Bash ya Rashid mimi ndiye Lulu
Kila wikendi ako kwa box kwa sanduku
Mi ndio master nyi wengine disciple
Ukinitoka nakutupa si recycle
Ju we ni fake mi sipendi vitu imbo
Ka si wera ukinitext nakuignore
911 ambia babu alete wino
Beba mingi leo ni El Nino
Mrenga ni whiskey na kizibo
Ju nilidrop chuma sasa nataka fimbo
Bazenga nikifika stand up
Big dawg mimi niliman up
Bazenga nikifika stand up
Big dawg mimi niliman up
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga nikifika stand up
Big dawg mimi niliman up
Bazenga nikifika stand up
Big dawg mimi niliman up
Kudeal na mimi inahitaji kujiamini
Kunilearn kwanza nifanye niwe dini
Coz mi ni pastor ninakuja na injili
Nadrop single huwa sipendi winkie
Ka we ni hater kulwa na chuki maini
Ka we mtiaji pigwa kichwa mpini
Kibazenga nawasha kama pilipili
Na jina yangu ndio maji baridi
Nina mistari buda kuja kwangu mining
Speed yangu noma you can turn me
Vile napita juu ya beat produce me
Nina brain bigi you can't wash me
Vile natema mdomo yangu ndio tap
Kama peterson nishachora nina map
Place naenda inadai Uber chap chap
Life ni one take hakuna recap
Bazenga nikifika stand up
Big dawg mimi niliman up
Bazenga nikifika stand up
Big dawg mimi niliman up
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga nikifika stand up
Big dawg mimi niliman up
Bazenga nikifika stand up
Big dawg mimi niliman up
Dem ana IQ, Eque
Watch Video
About Bazenga
More lyrics from Ngeli ya E.Que (EP) album
More EQUE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl