Ngeli Lyrics
Ngeli Lyrics by EQUE
Rrrrrrrh
Si ni ule dem ana IQ
Yeah Eque
Niko ready daily, kuroga kutesa kwa stage
I got the bars kwa kichwa na medi
Rasta jo ama nafunga dready
Sema hio one na style ya Femi
I'm a mother kifuani na jegi
Hawa marapper nawafuta kama fegi
Nina mistari nimerau ka pedi
Kuja nikufunze hii ngeli
Kabla uhame na bado hujaketi
Ulipuke na vitu nimeseti style ya Imenti
Shida am a medic and this a dedics
Vitu mi hufanya zote wadedi
Kucheza na mimi unachoma tu beti
Mi ni thitima unacheza na waya
Kwa flow ninafanya unagwaya
Nimekuja Henny kuitika
Chukua stopper uhesabu dakika
Eque nina ngeli inawika
Am portable mi naskika
Nimekuja Henny kuitika
Chukua stopper uhesabu dakika
Eque nina ngeli inawika
Am portable mi naskika
Napenda kuwa single ama mono
Ndio nishike hizi lines na mkono
Bars zangu zimebeba kama momo
Coz napenda chapo na madondo
Dem Omollo nimetoka Bondo
Na sipendi shikwa shikwa nyonyo
Vile nakaza ni kama mkojo
Na hawa maboys wanadai tu joto
Wapige magoti juu ya kokoto
Beef natafuna kama jojo
Lines ziko moto mimi ni oven
Am a femcee mi si wa choir
Vitu zangu konki utaretire
Na mi sina date ya ku expire
Hawa mafisi mi huwa inspire
Kwa beat am the beast am the fire
Usikam na mistari umehire
Nitakutoanisha uone tu haya
Am more than this niko higher
Kama huna bars nivutie waya
We ni rapper na uko na wana
Karekee ni vipi unahanya
Cheki ngeli inakuja na ubaya sana bana
Huwezi bishana usiku mchana
Msichana nawachana ka jaba
Lyrically we ni mfupa bila nyama
Ati lines ulikopa kwa TALA
Ukiulizwa najua utakana
Na ulikam kutushow uko sawa
Hapa ni highway chunga utakanyagwa
Kaa rada hapa ni kubaya
Nimekuja Henny kuitika
Chukua stopper uhesabu dakika
Eque nina ngeli inawika
Am portable mi naskika
Nimekuja Henny kuitika
Chukua stopper uhesabu dakika
Eque nina ngeli inawika
Am portable mi naskika
Watch Video
About Ngeli
More lyrics from Ngeli ya E.Que (EP) album
More EQUE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl