Chichi Lyrics
Chichi Lyrics by BENSON
Mr Lg
Kushushia yangu kweli kweli
Kwa Nini kuchanganya miti
Ya chini ya kabeti
We ndio yangu furaha
Uje usije unitie mwiba
We ndio rafiki wa Faida
Wakikupa neno usije ukapokea
Kuna mvua Kuna jua
My man Chichi
My man Chichi Chichi
Usije kukigawa kijiti
My man Chichi
My man Chichi Chichi
Usije kukigawa kijiti
Hofu yako nishaijua
Mie wako tetele
Madhati ya Nini
We ndio rafiki wa faida
Tunacho jenga wasije bomoa
Kuna mvua Kuna jua
My man Chichi
My man Chichi Chichi
My man Chichi
My man Chichi Chichi
Usije kukigawa kijiti
Waaaaaaa waaaaaa
Waaaaaa waaaaaa

Watch Video
About Chichi
More BENSON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2023, We Tell Africa Group Sarl