Asante Lyrics
Asante Lyrics by BENSON
Lody music on this one
Taabani kauli kwako sina
Honey nipe mapenzi tele
Baby nifurahishe waalike jirani
Kwenye ndoa wale muche
Aa mi kwako ka mutotoo mototoo
Sinajua penzi kikohozi
Ulivo chocolate color unawatishaa wanaotumia vipodozi
Kwanza ujawai kunu na ujawai nichunaa
Meseji mbaya sijawai kufumaa
Kwenye simu yako mapicha
Yakwako mi na wewe yani baby unatishaa
Asante (asante asante, asante)
Aaa baby
(asante asante, asante)
Asante
(asante asante, asante)
Aaa baby
(asante asante, asante)
Aaa baby
Baby am in love and you know that
Napensa ukinipeti petiii
Kiandaa nimekimwa maua mwenyewe si unanijua
Kimebaki kushusha neti
Tena mapenzi yetu yamebeba historia
Hifadhi kumbukumbuku maana
Vilenavokupenda ukiniacha nitaumia
Sipensi si tukiogombana
Kwanza ujawai kununa ujawai nichunaa
Meseji mbaya sijawai kufumaa
Kwenye simu yako mapicha
Yakwako mi na wewe yani baby unatishaa
Asante (asante asante, asante)
(asante asante, asante)
Asante
(asante asante, asante)
Asante
(asante asante, asante)
Asante
Asante
Asante
Watch Video
About Asante
More BENSON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl