B2K MNYAMA Maumivu cover image

Maumivu Lyrics

Maumivu Lyrics by B2K MNYAMA


Na ndio maana
We ndo ulisababisha niwajue wengi
Na ukanifundisha mambo mengi eti
Hata nikiondoka we huna mda wa kuchukia, ooh maama
Kumbe niliyo kufanyia nawe huyapendi
We ulinilingia na hunipendi
Sa mbona unagombana na wangu mpenzi unakosea
We ulihisi umeniacha na nyota ya ubaya
Yako imenyooka na iko sawa
Umenyon gonyea na unacho jionea
Kama ibilisi majibu yako ndo haya
Umedanga danga huko umepwaya
Umegundua yako haya pokea
Ratika yako iko vipi yani nawe kuongea, mpaka weekend
Upo day care, wanafunzi wengii
Mi nilikucare kumbe, haupendi
Noma sana, maaaa umivu
Maa aah umivuu (ya mapenzi kubali kusijia tu)
Maaaa umivu
Maa aah umivuu

Nasikia kwa mashoga zako unavo ongea
Mi mume wa ndoto zako nimepotea
Nikikumbuka ratiba zako nanyon gonyea
We bendera unafuata upepo unako elekea
Ulikuwa wamaonesha najionea
Eti leoyamekukuta nakuonea, na
Si ulisema hauni… husu mimi
Huo nwivu una nionesha… kwanini
Endelea na mambo yako sio mimi
Hautaki kuongea
Sa machozi unayabubujisha, kwanini
Si ulisema nikusahau, mimi
Nilifuata maneno yako lakini
Ratika yako iko vipi yani nawe kuongea, mpaka weekend
Upo day care, wanafunzi wengii
Mi nilikucare kumbe, haupendi
Noma sana, maaaa umivu
Maa aah umivuu (ya mapenzi kubali kusijia tu)
Maaaa umivu
Maa aah umivuu

Watch Video

About Maumivu

Album : Maumivu (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Mar 19 , 2022

More B2K MNYAMA Lyrics

B2K MNYAMA
B2K MNYAMA
B2K MNYAMA
B2K MNYAMA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl