NAY WA MITEGO Hawakatai cover image

Hawakatai Lyrics

Hawakatai Lyrics by NAY WA MITEGO


Hawakatai, hawakatai
Hawakatai eeh katai, hawakatai  (Hawakatai)
Hawakatai eeh katai, hawakatai 

Sijui wana tamaa ukipendeza wanajileta (Hawakatai)
Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa (Hawakatai)
Ukimfuata na gari hata kama la kuazima 
Ujue amekwisha huyo  (Hawakatai)

Akikupa namba we tuma salio
Mwambie njoo ghetto  (Hawakatai)
Mmekutana leo, unamwomba leo
Na anakupa leo  (Hawakatai)
Ukimpa mimba mzee, ukimwambie akatoe  (Hawakatai)

---
---

Hawakatai eeh katai, hawakatai  (Hawakatai)
Hawakatai eeh katai, hawakatai 
Hawakatai, katai, katai, hawakatai (Hawakatai)
Hawakatai, katai, katai, hawakatai (Hawakatai)

Eh eh ... hawakatai

Sijui ushamba
Akikupenda hata ukiomba picha za utupu (Hawakatai)
Wanajiona wajanja wakati ulimbo wao ni bia na chips kuku (Hawakatai)

 

Watch Video

About Hawakatai

Album : Hawakatai (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 04 , 2021

More NAY WA MITEGO Lyrics

NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl