![B2K MNYAMA Sawa cover image](https://afrikalyrics.com/assets/thumbnail/sawa-b2k-mnyama.jpg)
Sawa Lyrics
Sawa Lyrics by B2K MNYAMA
Moyo ukaugeuza uguo uka chana chana
Kwenye hasi mwenzangu ukaweka chanya
Dereva ulipita kituo abiria sina maana
Ukaweka wivu ambapo hapana maana
Nilitaka vitenge kwa uwoya nikajitutumua
Na vinono ningepetaje hali yangu si unaijua
Kila nilichotuma ulitaka ya kutolea nikazingatia
Bila kujali napataje ili ufurahi dear
Na sikuhitaji fadhila lengo tutunze penzi letu tuenjoy mi na we
Ukaniona tahira kwenye miba tukaenda peku limbe naumia mwenyewe
Vinavyo tokea nilivyo tabiri cha ajabu jua limezama saa mbili
Nikajua nimepata wa kunisitiri kumbe niliempata anachezea mwili
Haya sawa
Haya sawa
Haya sawa
Haya sawa
Aah, najua ya leo sio ya janaa
Japo sasa angalau kabariki maulana
Nilikupandisha cheo ukanishusha bwana
Madanga yakapadna dau nikawa sina maana
Walituita mapacha tusiofanana nikakuimbia na kawimbo tunaendana
Kupalilia penzi nikangangana japo wenye wivu wengi walitutukana
Ulitakata mi sikutakata
Tuko njia moja twaongozana
Nilichojua mapenzi kupendana
Sikuhitaji fadhila lengo tutunze penzi letu tuenjoy mi na we
Ukaniona tahira kwenye miba tukaenda peku limbe naumia mwenyewe
Vinavyo tokea nilivyo tabiri cha ajabu jua limezama saa mbili
Nikajua nimepata wa kunisitiri kumbe niliempata anachezea mwili
Haya sawa
Haya sawa
Haya sawa
Haya sawa
Haya sawa
Haya sawa
Haya sawa
Haya sawa
Watch Video
About Sawa
More B2K MNYAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl