ZORAVO Yahweh Worship Medley cover image

Yahweh Worship Medley Lyrics

Yahweh Worship Medley Lyrics by ZORAVO


Your name is Yahweh
Nobody like you, nobody can take your place

Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh
Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh
(Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh
Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh
Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh
Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh
Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh)
Umejitosheleza (Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh)
Hakuna kama wewe Yahweh Yahweh Yahweh Yahweh

We give you all the Glory
We give you all the honor
We exalt your name Yahweh
Umejitosheleza(mbinguni na duniani)
Niko ambae niko (walitunza agano lako)
Umejitosheleza (mbinguni na duniani)
Niko ambae niko (walitunza agano lako)
Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh
Yahweh ndivyo ulivyo mkuu Baba ooh
Uko juu ya kila jitu Baba ooh
Umejitosheleza (Yahweh Yahweh)
Unatawala mbinguni na duniani (Yahweh Yahweh)
Unatawala milele na milele (Yahweh Yahweh)
We call you Yahweh Yahweh Yahweh (Yahweh Yahweh)
Yahweh Yahweh Yahweh (Yahweh Yahweh)
Haulinganishwi na jambo lolote (Yahweh Yahweh)
Yahweh Yahweh Yahweh (Yahweh Yahweh)
Yahweh Yahweh Yahweh (Yahweh Yahweh)
Umejawa na utukufu milele (Yahweh Yahweh)
Unadumu milele na milele (Yahweh Yahweh, Yahweh Yahweh)
Hakuna kama wewe (Yahweh Yahweh)

Mbinguni na duniani
Walitunza agano lako milele
Mbinguni na duniani
Walitunza agano lako milele

Watch Video

About Yahweh Worship Medley

Album : Yahweh Worship Medley (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Nov 02 , 2021

More ZORAVO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl