
Raha Lyrics
...
Raha Lyrics by YAMMI
Aki babe naona mi na wewe
Kama adamu na hawa
Ivi tuko sawa sawa
Utaniua ntakwama
Mi mwengine sina
Kwani unafanyaga vipi
Ivyo mbona rah asana
Ooh baby ongezaa
Ongeza maujuzi nikupeleke
Kwa mkweo we wa wapi wewe
Zanzibari au tanga
Unanikoleza baba kazi ipo
Mbona kazi wanayo
We ni fundi wewe ukinvunja utanjenga
Yani naona raha
Naona raha naona
Naona raha naona raha naona raha
Naona raha
Unanipenda mpaka naogopa
Naona raha naona
Naona raha naona raha naona raha
Yani naona raha
Ogepa matapeli
Penzi letu tayasi linahati miliki
Apa mwisho wa reli
Nimeshapatikana sitikisiki
Wanafki washa feni
Watarusha madongo hayatufiki
Mi na we ndo movie
Waje watizambe wawe mashabiki
Usije ponzwa na ujana
Babe bade mapema
Ng’ang’ana na mimi darling
Na moyo umetulizana
Wa changu chanda chema
Nyunde na msumali
Ooh babe ongezaa
Ongeza maujuzi nikupeleke
Kwa mkweo we wa wapi wewe
Zanzibari au tanga
Unanikoleza baba kazi ipo
Mbona kazi wanayo
We ni fundi wewe ukinvunja utanjenga
Yani naona raha
Naona raha naona
Naona raha naona raha naona raha
Naona raha
Unanipenda mpaka naogopa
Naona raha naona
Naona raha naona raha naona raha
Yani naona raha
Watch Video
About Raha
More YAMMI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl