Nitadumu Nae Lyrics
...
Nitadumu Nae Lyrics by YAMMI
Ka kasoma veta
Ye ni fundi wa mambo
Atwanga pepeta
Kwavya juu viwango
Raha naserereka
Hahaba hayaishe bando
Chumbani heka heka
Vita ya unyago na jando ooh
Yeye ndo amenilemaza
Kulala kwake kifuani
Kutwa kunijazajaza
Mi kajol yeye sharukhan
Anipa mpaka nasaza
Sebuleni na chumbani
Raha zimenipumbaza
Mie hoi taaabani
Macharibi natafuta sababu
Bibi namtafuta babu
Aniita yaa qalbi majina ya kiarabu
Twawachoma mahasidi
Kwa vinyimbo vya taarabu
Nitadumu nae kwa nguvu za manini
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
Nitadumu nae kwa nguvu za manini
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
Oooh oooh lalala lalala aaah aaah
So dawa za china
Si mizizi ya kongo
Nampa mchai chai
Na supu ya kamongo
Fullstamina
Anibeba kwa mugongo, (mugongo)
Mambo ya kwenye mtima
Si kupendana kwa hongo, (kwa hongo)
Yeye ndo amenilemaza
Kulala kwake kifuani
Kutwa kunijazajaza
Mi kajol yeye sharukhan
Anipa mpaka nasaza
Sebuleni na chumbani
Raha zimenipumbaza
Mie hoi taaabani
Macharibi natafuta sababu
Bibi namtafuta babu
Aniita yaa qalbi majina ya kiarabu
Twawachoma mahasidi
Kwa vinyimbo vya taarabu
Nitadumu nae kwa nguvu za manini
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
Nitadumu nae kwa nguvu za manini
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
Anatembea na roho yangu
Anatembea na mwili wangu
Anatembea na pumzi zangu
Mimi mimi mimi
Watch Video
About Nitadumu Nae
More YAMMI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl