Niko Zone Lyrics
Niko Zone Lyrics by X-RAY KING
Niko maganji na form imejipa
Leo niko on (Leo niko home)
Jaba na tool set
leo sitoki home (Sitoki sitoki)
Tenje flight mode mi ndio OG
Leave me alone (Wachana na mimi)
Mangwelo mashash na msupa anaweza
Leo naperform (Eeey)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Niko maganji na form imejipa
Leo niko on (Leo niko home)
Jaba na tool set
leo sitoki home (Sitoki sitoki)
Tenje flight mode mi ndio OG
Leave me alone (Wachana na mimi)
Mangwelo mashash na msupa anaweza
Leo naperform (Eeey)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Zimenirarukia, Kim K ashatumwa anikanye
Waste of time ju niko busy nasorora matanye
Cloud ni tisa (Tisa) na figa ni nane
Angusha standards leo kesho tuzikusanye
Yeah kwa keja nachunisha debe (Debe)
Mpaka things fall apart kama Chinua Achebe
Ndeng'a ni python vile ananimezea watoto ka tembe
Flight mode niko Entebbe, vile naset jo kama wembe
Jirani anatry kuniseti venye nachachisha deadly
Mbogi ni ya chinkororona pull up na machette
Si ninabaki read all-over ka gazeti
Wachome pasi ka kibeti
Kwa pori ni mangiri soo (Ngiri soo)
So leo najitenga (Tenga tenga)
Mashore ni wawili bro
Kwa hao ngwagotenga (Tenga tenga)
Mzinga ishalandi jo (Mzinga)
Nazoza kipienga (Pienga)
Nageuza January inakaa ka December
Denge namtreat ka ng'ombe akidai nimcuff
Mi ni mjanja full-time namada game first half
Eey leo ni kuwaka ka lights za Passaris
Nijipate kwa news na hata sina habari
Ndizi flow buda nakuwanga hatari
Natoka kibeti ka Dennis Okari
Niko maganji na form imejipa
Leo niko on (Leo niko home)
Jaba na tool set
leo sitoki home (Sitoki sitoki)
Tenje flight mode mi ndio OG
Leave me alone (Wachana na mimi)
Mangwelo mashash na msupa anaweza
Leo naperform (Eeey)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Niko maganji na form imejipa
Leo niko on (Leo niko home)
Jaba na tool set
leo sitoki home (Sitoki sitoki)
Tenje flight mode mi ndio OG
Leave me alone (Wachana na mimi)
Mangwelo mashash na msupa anaweza
Leo naperform (Eeey)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Kabaya ka ni biz ama ganji we
Jua niko on (Jua niko On)
Eey si huishi ki brick and lace
Yaani ni bad to the bone
Ah bad man make me sing like Elson Jones
Sijai kosa form (Sijai kosa form)
Ka unaweza wai pipe in proper
Then call my phone (Call my)
Eey si hatukasirikangi aah
Si tunatafuta mali aah
Daily panda kiplani
Si tuko biz kila mahali aah
Walitudharau funny
Kim ka zile doggy za kibabe
Dream za kuwai Ferrari
Na keja moja safi Diani
We jali na za kwako
We cheza ligi yako (Cheza)
Tell a hater kula vako
Cheki jegi, cheki tako ooh gosh
Nyonya kitu kama Patco
Niko solo ki proton
Alisema hanijui ah
We boss no hio ni uongo (Fuck it)
Niko maganji na form imejipa
Leo niko on (Leo niko home)
Jaba na tool set
leo sitoki home (Sitoki sitoki)
Tenje flight mode mi ndio OG
Leave me alone (Wachana na mimi)
Mangwelo mashash na msupa anaweza
Leo naperform (Eeey)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Niko maganji na form imejipa
Leo niko on (Leo niko home)
Jaba na tool set
leo sitoki home (Sitoki sitoki)
Tenje flight mode mi ndio OG
Leave me alone (Wachana na mimi)
Mangwelo mashash na msupa anaweza
Leo naperform (Eeey)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Si niko zone, si niko zone
Si niko zone (Si niko zone)
Watch Video
About Niko Zone
More X-RAY KING Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl