Ushafeli Lyrics

WYSE Tanzanie | Bongo Flava,

Ushafeli Lyrics


Hata kama nimenuna
Nikikuona nafurahi
Kasoro huna
Kuwa nawe najidai

Usinipe yote nipe suna
Ukizidisha nitakinai
Ushanikolea mtama
Kuanguka sishangai

Ukipandisha mizuka heroso bari
Haikatokse haikatai
Tukutane chuga kwa wamasai
Aaah....aaah

Mwenzako umeshanikaba tai
Sukari umenikoleza chai
Kuchi kuchi kiini za ngajibari
Nahisi moyo, ushafeli!

Mwenzio moyo(Ushafeli!)
Moyo(Ushafeli!)
Nahisi moyo(Ushafeli!)
Ushafeli!

We ndo maji yangu
Kila nikipandwa kiu
Aah yaani moyo wangu
Kukupenda kauli mbiu

Sa nipeleke kama mtoto
Unichezeshe lokomoko
Awapunguze roborobo
Nakupenda eeh eeh

Ukipandisha mizuka heroso bari
Haikatokse haikatai
Tukutane chuga kwa wamasai
Aaah....aaah

Mwenzako umeshanikaba tai
Sukari umenikoleza chai
Kuchi kuchi kiini za ngajibari
Nahisi moyo, ushafeli!

Mwenzio moyo(Ushafeli!)
Moyo(Ushafeli!)
Nahisi moyo(Ushafeli!)
Ushafeli!

Ushafeli!
Ushafeli!

Leave a Comment