Ado Lyrics
Ado Lyrics by WINI
Penzi lake vita ya kimakonde
Maji iko jiko ya Tanga
Ziweke kwenye kisosi
Ladha kama asali hatari hatari
Tamu! tamu!
Mapiko piko nakaanga
Kwenye meza kwenye kochi
Ladha kama asali hatari hatari
Tamu! tamu!
Kama utaondoka nitaloose control
Ukiwa mbali nitaloose control
Ju wa zaidi yako mi sina(Ooh yeah ye)
Wa kuziba pengo lako sina
Mwenzako sielewi cha kale
Ushanichanganya(Changanya)
Oooh beiby basi fanya(Ado Ado)
Ah nipe kido kido utaniua aah(Ado Ado)
Basi fanya kido kido utaniua aah(Ado Ado)
Eeh nipe kido kido utaniua baba(Ado Ado)
Basi fanya kido kido utaniua aah(Ado Ado)
Tatara, tatara, tatara tatata tatara
Tatara, tatara, tatara tatata tatara
Ushanikalia kwa juu
Kwenye kichwa upo kwenye ubongo
Hujaniita naitika
Ah nasaka mcongo
Ushanivunja na miguu
Kubanduka labda kwa magongo
We jiamini mamacita
Oooh yeah eeh
Basi tuombe mazeze twende masaki
Napata lawama punguzaga miguno(Ooh yeah eeh)
Ukiongea nazi usizidishe mikuno(Ooh yeah eeh)
Mwenzako sielewi cha kale
Ushanichanganya(Changanya)
Oooh beiby basi fanya(Ado Ado)
Ah nipe kido kido utaniua aah(Ado Ado)
Basi fanya kido kido utaniua aah(Ado Ado)
Eeh nipe kido kido utaniua baba(Ado Ado)
Basi fanya kido kido utaniua aah(Ado Ado)
Ado Ado
Ado Ado
Ado Ado
(The mix killer)
Watch Video
About Ado
More WINI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl