Umeme Lyrics
Umeme Lyrics by WILLY PAUL
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Kila napo kam kam baby we ni tam tam
Moyo wangu umefanya zam zam
Kama gari nanguruma vrum vrum
Na kwa mapenzi girl umenifanya bubu
Ooh baby nononono
I really love you and you already know
Ooh baby nononono
I really love you and you already know
Ooh baby nononono
I really love you and you already know
Uuh my love i was born to be with you uuh
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Papararapapa
Ngozi yako iko soft soft, mtoto we ni soap soap
Matatu yangu iko pararapirera iko ready kuku beba
In this life, the little things that you do keep me going
In this life your prayers mama keep me going
Because of you, i'm no longer bwana mkunaji sami
Ni bwana mpendaji mama swear staki ata nandy
Kanifunza ukunaji mama
Mmmh mmmh
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Papararapapa
Kila corner umeteka thitima nishazama kwa mapenzi ooh thitima
Kila corner umenibeba, nishazama kwa mapenzi ooh thitima
Ooooooooh
Mtoto we ni thitima yaani umeme mem
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme
Papararapapa
Watch Video
About Umeme
More WILLY PAUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl