WHOZU Alieniloga Kafa cover image

Alieniloga Kafa Lyrics

Alieniloga Kafa Lyrics by WHOZU

(Mr LG)

Yaani niache umbea 
Kutwa nawashwa mdomo
We jifanye ziwa 
Nikugeuke nyonyo woo
(Nyonyo ake)

Sirembeshi ukiondoka nakusema wewe
Mi ndio mimi mionjo ninogewe
Huku kwetu hatutongozi labda ushindewe wewe
Na mashemeji twapeana oooh mama eeeh

Mara yakatika, kwani nayahusu
Offer ninywe pombe ngapi leo, kwani nayahusu
Siogopi kufumaniwa, kwani nayahusu
Si nimeyataka mwenyewe, kwani nayahusu

Kumbe alieniloga amekufa, kichaa kimenipanda
Alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
Jamani alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
Alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda

Aya twendeni nipee mkunju
Nipee mkunju
Aya twendeni nipee mkunju
Nipee mkunju

---
---

Kumbe alieniloga amekufa, kichaa kimenipanda
Alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
Jamani alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
Alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda

Watch Video

About Alieniloga Kafa

Album : Alieniloga Kafa (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 03 , 2020

More WHOZU Lyrics

WHOZU
Mii
WHOZU
WHOZU

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl