...

Beba Lyrics by WATENDAWILI


Warembo ni wengi ila nawalenga

Ndio maana siku hizi nalala mapema

Hawataniteka hawatinitega

Heri tu ninyonge na nilale ju sitakucheza

Na mii, ni mekiri nimekiri

Yetu sio siri

Ni wewe tu na mimi

Mmmh niamini niamini

Loving you is easy

Wacha wakupinga watupinge

Umenibeba umenibeba asante kwa kunipenda hivi unavyo nipenda

Umenibeba umenibeba asante kwa kunipenda hivi unavyo nipenda

Wololo wololo wololo wololo

Yelele yelele yelele yelele

Wololo wololo wololo wololo

Yelele yelele yelele yelele

Warembo ni wengi ila unalenga

Kupenda kutenda sio tu kusema

Nashangaa si kawaida

Won’t be quick to give my love if you won’t either

Mmmh fever umedeliver

Safari ya mapenzi haina kufika

Mmmh nimekiri nimekiri loving you is easy

Wacha wa kupinga watupinge

Umenibeba umenibeba asante kwa kunipenda hivi unavyo nipenda

Umenibeba umenibeba asante kwa kunipenda hivi unavyo nipenda

Wololo wololo wololo wololo

Yelele yelele yelele yelele

Wololo wololo wololo wololo

Yelele yelele yelele yelele

Be iparo be iparo kaka nyiri neluwa kaka nyiri nelawa

Chon chon naheroga mon

Bad boys those days are gone

Since I found you kila kitu new

Imiyo aweyo chode

Me I only see you

Nimeweka pazia machoni

I only see you umeniweka juu

Umenibeba umenibeba asante kwa kunipenda hivi unavyo nipenda

Umenibeba umenibeba asante kwa kunipenda hivi unavyo nipenda

Wololo wololo wololo wololo

Yelele yelele yelele yelele

Wololo wololo wololo wololo

Yelele yelele yelele yelele

Watch Video

About Beba

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Sharon Abonyo
Published : Jul 17 , 2025

More WATENDAWILI Lyrics

WATENDAWILI
WATENDAWILI
WATENDAWILI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl