Omzigidi Lyrics by VINTAGE CLAN


Man a bad man ting
Wana vintage clani ni madingo
Madingo, madingo, madingo

Omzigidi, omzigidi
Zangalewa ako na stupidity
Na mukuruguthu ananidigidigi di
Madem wachafu huitwagwa Purity

Omzigidi, omzigidi
Omzigidi what Omzigidi
Omzigidi, omzigidi
Omzigidi what Omzigidi

Nduk nduk alama ni ya ndukulu
Tuk tuk mkamba ita kisululu
Kuku vintage huita kukuru
Mbuku waluhya huita mbukulu

Kanyaga brakes sumera kanyaga brakes
Unaniwaste baba Otis unaniwaste
Nadai ni kokocopy na ni paste
Na judge anadai niko na pillow case

Omzigidi, omzigidi
Zangalewa ako na stupidity
Na mukuruguthu ananidigidigi di
Madem wachafu huitwagwa Purity

Omzigidi, omzigidi
Omzigidi what Omzigidi
Omzigidi, omzigidi
Omzigidi what Omzigidi

Msupa bubble, bubble bubble
Mi nafumble, fumble fumble
Msupa bubble, bubble bubble
Mi nafumble, fumble fumble

Haga zijuggle juggle
Monkey yangu iko na muscle, muscle
Threesome double double, double
Sina changu mcheza chako, chako chako

Omzigidi, omzigidi
Zangalewa ako na stupidity
Na mukuruguthu ananidigidigi di
Madem wachafu huitwagwa Purity

Omzigidi, omzigidi
Omzigidi what Omzigidi
Omzigidi, omzigidi
Omzigidi what Omzigidi

Kumbe ni kumbe kumbe
Kam nikukumbe nikumbe kumbe
Punde punde si pumbe
Ye ni mtamu supu ya kunde

Dogo wa dogo, zagazogo
Hatuteki dero, bash ni ya masonko 
Korogocho mapochopocho
Nyoko nyoko usilete nyoko nyoko

Omzigidi, omzigidi
Zangalewa ako na stupidity
Na mukuruguthu ananidigidigi di
Madem wachafu huitwagwa Purity

Omzigidi, omzigidi
Omzigidi what Omzigidi
Omzigidi, omzigidi
Omzigidi what Omzigidi

Ni astaje mi kutuja
Bombo msmoke ina chok kuuwa
Dem kinywa mi naskutunya 
Pedi wake shintoz kumbuya

Ma-marinate, marinate
Marinate, nadai kukumarinate
Mi hukunywa daily na sijai kuwa wet
Kadem ni kafupi na duri iko na depth

Duri iko na dent
Iko na dent
Iko na dent
Duri iko na dent aaii

Omzigidi, omzigidi
Zangalewa ako na stupidity

Ghai sitairudi kwa huyu pedi
Vile zimenishika ...
Ghai sitairudi kwa huyu pedi
Vile zimenishika ...

Fatuma ni mchafu na bado namchafua 
Fatuma mchafu na bado namchafua 
Fatuma ni mchafu na bado namchafua 
Fatuma mchafu na bado namchafua 

Mapenzi ni ya dhati, ni ya 30
Chwani ni ya kinyaru ndo tupoteze wakati
Mapenzi ni ya dhati, ni ya 30
Chwani ni ya kinyaru ndo tupoteze wakati

Deni zangu mingi ni ju ya ken
Kenchic, Kengen
Ken wa Maria, Kensalt
Kencom, Kentucky 

Uuuuuiii!!!!!

Watch Video

About Omzigidi

Album : Omzigidi (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 21 , 2020

More VINTAGE CLAN Lyrics

VINTAGE CLAN
VINTAGE CLAN

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl