Lwanda Magere Beat Freestyle Lyrics
Lwanda Magere Beat Freestyle Lyrics by TRIO MIO
Aha, yeah it's Trio Mio
Khaligraph Jones
Aha, nicheki
Mi utero maotero hutoka teke nikitokea
Teveva na mkombero nateketea nikitembea
Na moto ni mafuta taa trouble maker wa tiplo
Toba tishiwa na Timber na matindo wa insult
Teritoes kwa grao, na tension kwa trao
Ma twa twa nipige na tampoon kwa nyau
Namtoka ki Tony Cross namtema akitapatapa
Tekwa na mtaratara natibu watoto hapa
Na ni shot ya tequila na muratina kwa tumbla
Taki 4:20 na pedi anakuwanga fambla
Nyi matothi mko tupu hamtoshi ratili
Akili ya tenitabis mmeleta mjini
Matua tutakushuka takataka kwa trash
Kanateka matena naapa mi hudonna matanasha
Karantin hii ni movie tia chumvi kwa tea
Hizo maT lazima utii huwezi tema ka Trio
Nina kimwaki ka kijiko ndani ya microwave
Riba na majangi ki Migo kinamarinate
Mbele tukiomoka tutasimamisha ma mansionette
Ma bungalow, estate kwa sababu ploti zina mushene
Tukule bubushee Kilimani ama Oyole
Ndani ya duvet siku nzima uko holiday?
Hapa ngori le, kila siku huwaga workile
Sunday, Saturday -- niko chevrolet
(Niendelee, so tuendelee ama nUitafte kitu)
(Endelea buda!)
[Khaligraph Jones]
Moja I just told you that it's over
Ukipapi Trio then OG anakuja ka Gova
Pili makanjo kutumia akili
Kijana mdogo lakini mzigo cheki ratili
Tatu si hufanyianga watu
Tukispit tumechoma vitu, buda tumefyatu
Nne work MC msipime ka uko na kashore kafiti
Lazima nimdi**
Tano nitakutumianga kama mafano
Khaligraph akikuja buda manze toka teke
And sita bro tuko ready jo kwa vita
Afrika mzima hii sauti imesikika
Saba naweka kwa msalaba
Khaligraph Jones baba yao their father
Nane buda chunga usipatikane
Ju nakuja hapa na mbogi buda jo ni --
And tisa yeah bado game yajipa
Flow ikikuja manze jo madem wakosete
Saba!!! (Eeeh hahaha, Trio Eeh)
Gathee anyway nilikuwa natumia namba
It's either way jo ni kuroga
Nikikuja hapa na Trio gathee tumetosha mboga
Na bado niko juu na niko sober
Marapper wakikuja jo na OG wanaoga
But anyway that's not the issue right now
Nikispit mafans wako like damn why why
Yes na hivyo ndo mi huwanga ninabless
Kama ni microphone lazima mi nita di caress
Then buda chukua uendelee manze jo nimchoka
Hizi vitu ni za ufala manze mi nishakutoka
[Trio Mio]
Hey my guy kama kuna kitu mi huchukia kwa hii lifetime
Nikubebwa ndogo na tumadharau tu live live
Watu hugwaruzana but heshima huwanga lifeline
Usiwai kunja ngumi ukajichocha henny night fight
Beef si humeza iwe choma ama dried fried
Real niggas si hukunyima character kwa cypher
High time kuseparate madanda na ma ants time
Marapper---
Uh
Ni Trio Mio lets go
Portmore pale chonde utanipata
Na mapretty kama thao wanadrip designer
Chupi, Prada ndipo inataste picanna
Peter Pipper mboka na akazua na pliers
Sina kwara dasha sina pupa pang'ang'a
Mi hupiga ngasha we unanuka punana
Buda madree pigwa na machupa za pili
Boss mi ni numero unno siwezi kuja wa pili
Mi picasso vile nazichora
Pigwa bakora nakupora kama pinji wa Dandora
Niko pako na wakwako anapigwa punyeto
Macho tomato nimenyanya shuksha na potato
Wapo wanapika pelka pelka
Niko mapesa kama tizi mapress up
Niko busy mapema tema vile natema
Ni morio anzenza bazenga kusema
Cheza michezo inaweza, wewe wewe
[Khaligraph Jones]
Ati vuka Portmore nimebaki nikiwaza
Mi sijatoka Portmore buda mi nimetoka Gaza
Oyole utanipata ukileta upuzi
Huku pande yetu tutakukata
Big shoutout to Mbogi Genje
Mafala wote pale nje wale wako kwa stenje
Watu wote wanatuskia OG motherfcker
Am the best right here
Eyo Trio si tuwapatie story
Venye kumess na sisi hapa huwanga ngori
Yeah manze tutawamaliza
Nani ndo the best MC ukitaka uliza
Watakupea jibu ile inafaa
Khaligraph jo huwa nawakilishanga mitaa
You know that I'm a G
And where we are these rappers wanna be
But then again nani anaweza kufanyanga jo hivi
Hizi vitu ni zile wathii wanaonanga kwa TV
Kufika hapa buda ni lazima kupiga tizi
Nikianza kuroga jo buda utadhani nimechiziii!
(Hahahahaha...)
Watch Video
About Lwanda Magere Beat Freestyle
More TRIO MIO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl