TRIO MIO Steppa cover image

Steppa Lyrics

Steppa Lyrics by TRIO MIO


Aaaaanhuh! Trio Mio
Mkurugenzi Attah!
Steppa steppa
Hapa nachachisha nawatepa tepa
Rada nasafisha na kingepa ngepa
Nani analalisha anaeza sepa sepa
Steppa steppa

Steppa steppa; Steppa steppa
Steppa steppa; Steppa steppa
Steppa steppa; Steppa steppa
Rada nasafisha na kingepa ngepa

Steppa steppa
Design ya late comer anahepa depa
Wahenga walisemanga kakitepa sepa
David Beckham, vile nafunga manduki
Mnadhani huu boy ni new kid? (Mamluki!)
Mi nd'o muthamaki n'na mang'ondo mingi
Nakula samaki nyi madondo nyingi
Na maufala sitaki sare ubombo nigga
Kama Nagasaki n'na mabomb bomb trigger
Niko deep end
Tamasha za weekend
Mamdenge inadepend
Lazma akuwe ni kipeng'
Gari kubwa V12
Out of ten ni kiten
Nampeleka na rieng
Nampatia mavujheng' (Mavujheng!)

Steppa steppa
Hapa nachachisha nawatepa tepa
Rada nasafisha na kingepa ngepa
Nani analalisha anaeza sepa sepa
Steppa steppa

Steppa steppa; Steppa steppa
Steppa steppa; Steppa steppa
Steppa steppa; Steppa steppa
Rada nasafisha na kingepa ngepa

Rada ni safi, pamba ni pasi, pori imeshona kipakee
Nmewasili kirasmi, mi na wafuasi, DJ anacheza madanse
Tunazitoka
Mbleina tunakutoka
Wale si huguza Poker
Lazma unatoa majoker
Mchezo ndo iendelee
Mromboso mpaka chee
Wamocho tupepee
Washa kiteketee, wee!
Hizi flow za kinyumbani mtajua Trio Boy sio ndogo
Beat ya Byron flani lazma tuflex kidogo
Saksua pori (Hmm!)
Huwezi kosa mtonyo (Huh!)
Sheshe na mamshori (Okay!)
Mi ndo huwanga sponyo (Sawa!)
Sianzishangi ngori (Yeah!)
But mi hutupa mkono (Uhn!)
Siezi sema sorry (Yeah!)
Stepisha kamsondo!

Steppa steppa
Hapa nachachisha nawatepa tepa
Rada nasafisha na kingepa ngepa
Nani analalisha anaeza sepa sepa
Steppa steppa

Steppa steppa; Steppa steppa
Steppa steppa; Steppa steppa
Steppa steppa; Steppa steppa
Rada nasafisha na kingepa ngepa
(Stray music)

Watch Video

About Steppa

Album : Steppa (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 28 , 2021

More TRIO MIO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl