
Konyolo Lyrics
Konyolo Lyrics by SWAT MATIRE
Konyolo tukate konyolo
Konyo tukate konyo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyo
Konyolo tukate konyolo
Konyo
Amebeba design ya kitanker
Na kama jo ni chingi
Atakata ye ni tanker
Huwezi mkosa dunda akiparty na mapartner
Partner ni tanker na pia ye ni tanker
Tanker, ye hakunywi Tusker ita waiter
Mzinga alete hapa
Tanker, ye hakunywi Tusker ita waiter
Mzinga alete hapa
Kwa kukata hakuna ule teacher
Na kama uko na Gbag nakuja na marizla
Kwanza weka shifla na uweke kwa hio sidla
Luku ka ni moto napiga hio dikla
Sipendagi maziwa napenda jo ya kibla
Dogo ya dogo tutaje hao madiva
Dogo ya dogo tukikata mashifla
Dogo ya dogo tutaje hao madiva
Tanker, ye hakunywi Tusker ita waiter
Mzinga alete hapa
Tanker, ye hakunywi Tusker ita waiter
Mzinga alete hapa
Utakunywa Whiskey ama utakunywa Vodka?
Utamix na maji ama utamix na soda?
Unadai cocktail Snap ama Tusker?
Utakunywa dry ama utamix na chaser
Unadai ya can ama unadai ya chupa
Kwanza dishi wetfry ama ni choma
Naona kamerunda ukishikisha na Gomba
Kwanza kula wetfry ama ni choma
Konyolo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyolo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyolo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Amebeba design ya kitanker
Na kama jo ni chingi
Atakata ye ni tanker
Huwezi mkosa dunda akiparty na mapartner
Partner ni tanker na pia ye ni tanker
Tanker, ye hakunywi Tusker ita waiter
Mzinga alete hapa
Tanker, ye hakunywi Tusker ita waiter
Mzinga alete hapa
Utakunywa Whiskey ama utakunywa Vodka?
Utamix na maji ama utamix na soda?
Unadai cocktail Snap ama Tusker?
Utakunywa dry ama utamix na chaser
Tanker, ye hakunywi Tusker ita waiter
Mzinga alete hapa
Tanker, ye hakunywi Tusker ita waiter
Mzinga alete hapa
Konyolo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyolo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Konyo tukate konyolo
Watch Video
About Konyolo
More SWAT MATIRE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl