Weka Lyrics
Weka Lyrics by SSARU
Mi ndio waiter unataka kitu gani?
Weka order naleta tu mezani
Utakula hapa ama utakula nyumbani
Utadishi solo ama utaita jirani
Weka weka weka, weka order
Mi naleta leta leta
Weka weka weka, weka order
Mi naleta leta leta
Niko na flat tummy we sema niko njaa(Prrr)
Na ninabonga kilami na nimetoka Dar
Mi ni antisocial nasema yaani staki salam
Na kama uko na beef nakuja na Royco madam
Washa kindukulu tuchome tumedi kiplani
Mi ni kuku we ni jogoo wa mashinani
Mi chuchumaa ni kama nataga mayai
Washa mshumaa giza imezidi uku ndani
Mi ni msupuu siogopi dudu
Siezi peana respect kwa manugu
Siezi try kukuimpress we sio Mungu
Siezi try kuku-undress ka we sio wangu
Nimekam ku-address ndugu zangu
Mnaniskiza ju mnapenda style zangu
Niko unique si mnafanya maajabu
Niaje mafans si mnapenda ngoma zangu?
(Niaje mafans si mnapenda ngoma zangu?)
Mi ndio waiter unataka kitu gani?
Weka order naleta tu mezani
Utakula hapa ama utakula nyumbani
Utadishi solo ama utaita jirani
Weka weka weka, weka order
Mi naleta leta leta
Weka weka weka, weka order
Mi naleta leta leta
Ssaru wa manyaru amekuja kama Hitler
Nimeleta war cheki venye nawatisha
Nimekam na kindom kiko kwenye T-shirt
Na nabonga ni kama mi niko na speaker
Mi ni drinker, nawakunywa since day one kitanker
Nitawafanyia tu venye mi nataka
Ju najua nyinyi wote ni mastalker
Nitawa-ditch tu kama taka taka
Mkinihata, mtanifuata
Mnipanue kama miguu za bata
Mnitoboe manze mniwache na punture
Na mnajua huku akuna kiraka
Kuna kishada, nimekiwasha
Kimenishika mpaka shadow inanihepa
Kimbichwa kinafanya mi nacheka cheka
Mi ndio waiter unataka kitu gani?
Weka order naleta tu mezani
Utakula hapa ama utakula nyumbani
Utadishi solo ama utaita jirani
Weka weka weka, weka order
Mi naleta leta leta
Weka weka weka, weka order
Mi naleta leta leta
Mi ndio waiter unataka kitu gani?
Weka order naleta tu mezani
Utakula hapa ama utakula nyumbani
Utadishi solo ama utaita jirani
Weka weka weka, weka order
Mi naleta leta leta
Weka weka weka, weka order
Mi naleta leta leta
Pika pakua peleka mezani
Pika pakua peleka mezani
Pika pakua peleka mezani
Pika pakua peleka mezani
Watch Video
About Weka
More SSARU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl