Money Paper Lyrics
Money Paper Lyrics by SONGA
Money money money
Nataka hizo paper
Nataka hizo money money money
Nataka hizo paper
Ukinipa salamu nitashukuru
Ila ukinipa pesa siwezi kusahau soon
Maana ni tam kutumia mapenzi yanarun moyoni
Pesa ina run dunia
Ikikupitia kushoto watu wanaturn kulia
Watu wanakupanga mwanangu ndo ujanja mwanangu
Dem hapendi six packs, mbele ya mkwanja mwanangu
Tupige kazi tena daily sababu tuna zihitaji more kama Dewji
Jinsi zinanipigisha show kama crazy
Huna hela unajifanya bishoo kushinda JayZ
Nigga huwezi kuwa serious kabisa
Una thao mbili unataka kula biriani la sinza
Niko na machizi tukimixer una mixer
Ya kusaga mashilingi ya kufix down mashida
Money money money
Nataka hizo paper
Nataka hizo money money money
Nataka hizo paper
Usinione bishoo kwa kuwa msafi tu
Nitakutoa roho ubaki roho juu
Nataka hizo money money money
Nataka hizo paper
Nataka hizo money money money
Nataka hizo paper
Inauma kupiga dili na ufeli
Hata ka ulikopesha ukweli utadai kweli
Sawa pesa haileti furaha
Ila bora kulia ndani ya Range sio juu ya baiskeli
Kabla kazi na dawa, kazi na sala inaanza
Ukipata shukuru kwa maana usawa unakaba
Wasaidie wasiojiweza maana ndo baraka baba
Usishangae siendi church nasaka sadaka kwanza
Iwe sarafu au noti dili ninazo
Nazipenda ka wanangu wa Moshi Kilimanjaro
Tuzisake usiseme ni adimu si hayo
Tuliza kichwa acha wazimu dili kibao
Boost kibao, push michongo
Jibwa lisipotee kwa ile miluzi ya uwongo
Tukiwa kwenye mazungumzo muhimu zima mziki
Pesa ikiongea ongeza sauti kidogo
Watch Video
About Money Paper
More SONGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl