Sijafika Lyrics by SIZE 8 REBORN


Ulalalala
Willy willy willy paul
Namba nane nane size 8
Kambua
Gloria muliro tena
Usinione narukaruka msela sijafika
Usinione nacheza ngoma msela sijafika
Usinione narukaruka dada sijafika
Usinione nacheza ngoma dada sijafikaaa
Usinone mimi kwenye sitolia sijafika
Usinione mimi kwenye tamutamu sijafikaaaa
Usinione narusharusha mateke sijafika
Usinione nawashawasha moto motoooo sijafikaa
Ooh sijafika sijafika sijafika
Ooh sijafika sijafika sijafika
Iyeee natafuta yesu maishani ooo
Iye iye iye natafuta yesu maishani oo
Iye ee natafuta yesu maishani oo
Iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
Uuh msela
Eee ooo aaaah
Oooo eee ooo aaaah
Matime huwa nanung'unika nikipata chuki nami natafuta yesu wangu wa maishani
Kweli kafanya nishikilie baba lakini bado
Mimi kambua sijafika nahitaji uwepo wako
Ndio maana usiku na mchana ntakupa sifaaa eee
Wapi gloria
Ilianza mwambie alesa ikafuata yesu iroma ikaja kibali na bado kasonga
Tulipotoa sitolia mwana walidhani tumefika kumbe ilibidi tufollow follow you
Nangojea matokeo yangu bado nangoja matokeo
Hata baada ya mpango wa kando sijafika
Tuma baba msaidizi kwangu na hata zaidi nataka nimwone yesu maishani mwangu
Iyee natafuta yesu maishani ooo
Iye iye iye natafuta yesu maishani oo
Iyee ee natafuta yesu maishani oo
Iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
Uuh msela
Eee oooh aaaah
Oooh eee ooooh aaah
Hatujafika hatujafika maana tuko safarini sote
Hatujafika tuko safarini sote ee
Hatujafikaaa hatujafika mama
Hatujafikaa hatujafika eeeh
Mmh willy paul ae kambua ae
Size8 ae gloria ae hatujafika mama
Aa eaa tuko safarini aah teddy b
Iyeee natafuta yesu maishani ooo
Iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
Iyee ee natafuta yesu maishani ooo
Iye iye iye natafuta yesu maishani oo
Uuh msela.
Eeeh oooh ooh aaah
Ooh oooh eeeh oooh aaah

Watch Video

About Sijafika

Album : Sijafika (Single)
Release Year : 2015
Copyright : ©2015
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 12 , 2020

More SIZE 8 REBORN Lyrics

SIZE 8 REBORN
SIZE 8 REBORN
SIZE 8 REBORN
SIZE 8 REBORN

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl