Danga Lyrics by SHOLO MWAMBA

Eyoo Kenny!
Aaiii.. yooo...oooh
Aaiii.. yooo...oooh

Ah jamani danga, danga la mtaa
Umeliona danga hilo, halijui kukataa
Ah jamani danga, danga la mtaa
Si umeliona danga hilo, halijui kukataa

Linatembea na mababu (Danga!)
Linatembea na vijana (Danga!)
Linafuga mpaka ving'asti (Danga!)
Linatembea na watoto (Danga!)

Wee mtaa mzima wanakujua wewe
Hutaki kupima unataka nini wewe?
Wee mtaa mzima wanakujua wewe
Hutaki kupima unataka nini wewe?

Na ndo maana nalo dera umeazima
Na wiggy la kukopesha
Eti mama na hilo dera umeazima 
Na wiggy la kukopesha

Tunakuona Whatsapp kisimu umegongesha
Eti dada umedanga mwezi mzima hata buku saba huna
Eti na jana umepata danga leo hata buku huna

Ndo udangaji gani huo
Eti kudanga gani huko?
Ndo udangaji gani huo

Ah jamani danga, danga la mtaa
Umeliona danga hilo, halijui kukataa
Ah jamani danga, danga la mtaa
Si umeliona danga hilo, halijui kukataa

Haya kigodoro jali 
Kwa kutaka sifa wewe
Miundo feni katikati 
Mixer mipicha hio

Ndio maana wanamsema mtaa mzima
Anatunza magodoro mwenyewe analala chini
Huyo huyo huyo huyo kitorondo huyooo
Huyo huyo huyo huyo kitorondo huyooo

Oooii baba
Unaambiwa kudanga sio kazi
Kazi ni kumpata mteja bana
Na ukipata mimba
Dai na risiti yako wewe (Unachelewa...)

Amini kwamba hii hapa  
Ni sauti ya captain Sholo Mwamba
Nakubaliana na wewe mwanangu producer Kenny
Niko na uadibu ah Dj Tito Baba

Wee mwanangu Jully wasalimie hao, hao
Watoto wa Morogoro, Adena baze 
Watoto wa Tabata Laddar boyz
Wapi ndama rais wa mbweni

Ah mwanangu Khani 
Lio si mzuri baba
Twende tena weka tena
We Tito waonyeshe, waonyesha

Udangaji huo, we mama udangaji gani?
Udangaji huo, we dada udangaji gani?
Umepata jana na leo unataka tena?
Umekuja jana na leo unataka tena?

Eti mama aliwanda soo, soo
Kilimandota, aliwanda soo, soo
Kilimandota

Eti kisa wa wa wa wa katoa pose
Siangalii sura naangalia  wo wo wo
Ayeyeyeye, awowowowo
Siangalii sura naangalia  wo wo wo
Ayeyeyeye, awowowowo

Basi kama unalo liachie
Kama unalo liachie
Mama kama unalo liachie
Kama unalo liachie

We gonga mara mbili 
We Kenny wakuone chizi
We gonga mara tatu
We Kenny wakuone fyatu

Piga bahariaa!

Watch Video

About Danga

Album : Danga (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 10 , 2020

More SHOLO MWAMBA Lyrics

SHOLO MWAMBA

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics 

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl