Nipe Lyrics
Nipe Lyrics by SHAZZIE KEMZ
Shazzie baby, Ssaru
(Rico Beatz Mr 808)
Ulivyo tu umenibamba
Your face, your body umenimada
I give you my number
Ntakukol ntakukol
Tucheze twist charanga
Uko na black wakanda
Tuchill kwa kibanda
Nikupe story nikupe story
Me and you till I die
Baby o, baby o
True love I never lie
O mwenzio, mwenzio
Usinizimie data
Utaniua mtima aah
Kiu ya maji we kata
Ulimi na kinywa aah
Baby love, baby love, baby love
Geuka and dance for me
Baby love, baby love, baby love
Lemme turn and dance for me
Nipe, nipe
Nipe moyo niuweke
Nipe, nipe
Nipe moyo niuweke
Ukinipa natulia lia
Ukinipa natulia ooh beiby
Ukinipa natulia lia
Ukinipa natulia ooh
[Ssaru]
Mi nataka penzi nipe joto
Ni penzi la kishua
Sio penzi la kitoto yeah
Vile nakupenda sijali ukikosa
Ju beiby siogopi msoto
Kama ni border nitavuka
Ju passport na visa unifunze kingoso
Mi nataka tu mapenzi
Sio penzi la kishenzi
Sifeel kama ndoto
Local, local, usinipe penzi la kilocal
Wacha nikuzalie katoto
Tujenge nyumba mi nitakuja na katoto
Oooh uuuh dance for you daddy oo
We ukiwa hustle I chop your money o
Nikutolee kangoma na Marioo
Wakikuchinjia si unajua ni bad oo
Nipe, nipe
Nipe moyo niuweke
Nipe, nipe
Nipe moyo niuweke
Ukinipa natulia lia
Ukinipa natulia ooh beiby
Ukinipa natulia lia
Ukinipa natulia ooh
Alafu mi sio mholly
So baby ukitaka unitease ka mdolly
Yeah mi ni local usiworry
Hata nikikosea si basi I'm sorry
Na venye umeishika ndo hivyo naipenda
Penda penda penda eeh
So baby come and give look tasty
Baby baby whine to my bed
Nipe, nipe
Nipe moyo niuweke
Nipe, nipe
Nipe moyo niuweke
Ukinipa natulia lia
Ukinipa natulia ooh beiby
Ukinipa natulia lia
Ukinipa natulia ooh
Watch Video
About Nipe
More SHAZZIE KEMZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl