Ex Boyfriend (Rayvanny Cover) Lyrics
Ex Boyfriend (Rayvanny Cover) Lyrics by SCAR MUSIQ
Leo unakula kwa macho
Nguvu ya kusema huna
Maneno ya mipasho
Na jeuri vimeshazima
Ulishafuta namba zangu
Ukachoma picha zangu
Hukujali ulivyolia
Mbele ya mashoga zangu
Ukasema uende zangu
Nguo ukanitupia
Na zaidi niliuguza vidonda
Kwa vipigo manyanyaso kila siku
Kwa mawazo ukakonda
Uko busy kucheat una fungwa zako
Nilikubembeleza, ukakubeza
Nanuka na ukanitelekeza
Macho makengeza, miguu ya pweza
Kuwa nami ukasema niliteleza
Leo ninapendeza wamenitengeneza
Wanaume wenye mali wenye fedha
Sasa nimejiweza huwezi kujikweza
Unajutia nafasi kuipoteza, leo aibu yangu
Ex Boyfriend, Ex Boyfriend, Ex Boyfriend
Huitwi tena hunny baby jina lako limekuwa
Ex Boyfriend, Ex Boyfriend, Ex Boyfriend
Hukujuwa kumbe taabu pekee yangu unaugua
Nawaza nilifeli wapi? ukisema sikutaki
Sura ya baba na kitambi cha makasi
Sa nina mtanashati vitozi tena smarti
Mtu wa gym tena ana six packi
Wewe uko juu ya bati huna mikakati
Ghetto mwendo chai na chapati
Nishahama Mburahati nina nyumba Masaki
Ninachoma nyama kila siku party
Nishakupiga mikuki, Aah!
Insta we hufurukuti, Aah!
Mambo ya gauni suti, Aah!
Tukifanya photo shooti, Aah!
Mapenzi hayana commando
Ndio sasa unaumwa roho
Na ukome we kuniita njoo
Hatuwezi rudi kama before
Ona shepu ilijificha kwenye dera
Hizo skinny jeans we zinakukera
Template ya kadi kwenye machela
Siku wakinivalisha shela
Nilikubembeleza, ukakubeza
Nanuka na ukanitelekeza
Macho makengeza, miguu ya pweza
Kuwa nami ukasema niliteleza
Leo ninapendeza wamenitengeneza
Wanaume wenye mali wenye fedha
Sasa nimejiweza huwezi kujikweza
Unajutia nafasi kuipoteza, leo aibu yangu
Ex Boyfriend, Ex Boyfriend, Ex Boyfriend
Huitwi tena hunny baby jina lako limekuwa
Ex Boyfriend, Ex Boyfriend, Ex Boyfriend
Hukujuwa kumbe taabu pekee yangu unaugua
Watch Video
About Ex Boyfriend (Rayvanny Cover)
More SCAR MUSIQ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl