One Day Lyrics
One Day Lyrics by RADICAL
Tutaonana one day
One day one day
Me na we inna holiday
Holiday, holiday
Walisema one for the money
But God we ndo first
Fanya miujiza, fanye venye unataka
Come Monday to Sunday na fast
Ukiwa na mimi nadata
Si ni juzi tu
Ulinilipa deni, wewe
Si ni juzi tu
Umenibless tena zaidi
Hata watu waniite majina (Jina jina)
Siwezi kosa kukushukuru
Kwa yale umetenda
Hata unibless na gari najua yote vanity
Unipe nyumba najua yote vanity
Hata na ganji yote vanity
Vanity, vanity, yote vanity
Hata unibless na gari najua yote vanity
Hata na nyumba najua yote vanity
Hata na ganji eeeh
Aah ooh yote vanity
Walisema one for the money
But God we ndo first
Fanya miujiza, fanye venye unataka
Come Monday to Sunday na fast
Ukiwa na mimi nadata
One for the money
But God we ndo first
Fanya miujiza, fanye venye unataka
From Monday to Sunday na fast
Mi Radical, ukiwa nami nadata
Siwezi blush blush blush
Labda nione vitu vinabamba
Ndani ya Yesu kuna bash bash bash
Huku ndani si tunajibamba
Aah buda Yesu amedu dat
Amefanya maajabu feel that
Buda Yesu amedu dat
Amefanya maajabu
Hata anibless na gari najua yote vanity
Hata na nyumba najua yote vanity
Hata anipe ganji eeeh
Vanity, whatever it is
Hata unibless na gari najua yote vanity
Hata na nyumba najua yote vanity
Hata na ganji eeeh
Aah ooh yote vanity
Walisema one for the money
But God we ndo first
Fanya miujiza, fanye venye unataka
Come Monday to Sunday na fast
Ukiwa na mimi nadata
One for the money
But God we ndo first
Fanya miujiza, fanye venye unataka
From Monday to Sunday na fast
Ukiwa nami nadata
Watch Video
About One Day
More RADICAL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl