Zote Lyrics by SCAR MKADINALI


(Big Beats Afriq) For real
(Afrvka)

Tei ama vela hio ni swali gani
Mi nataka zote (Zote)
Sijui niende show ama hustle
Bora ina pesa, mi nitaeka zote

Banga anashindwa ni mwizi ama pedi
Hanaga habari ju nakaa zote
Mkidi ni fees, wifey na bills
Feeding the streets

Zote zote, zote zote zote
Man on the box, mi nataka zote
Ninunue kichaka ama benzo imewaka
Fck it mi nataka zote 

Msupa ni mweusi ama color ni aiyela
Ni jegi ama haga amebeba, zote
Mkidi ni fees, wifey na bills
Feeding the streets, zote

Zote zote, zote zote zote
Mi nataka zote mmmh
Hamko na mimi mafala najua 
Mnangojaga incase niomoke
Sina ngori nayo infact niwagotee
Hater akibonga anapatiwa poke

Ati Scar we unatafuta collabo na rapper mgani
Mi staki yeyote mmmh
Mara ngapi rapper ameitisha collabo bure
Mi staki hio nonsense

Pale Unkut Awards ni vile hawangenipatia
But nilishinda zote huh
Nikatuma Mr Omollo aende apokee
Na this year mtaratara ni ile ile nazitaka zote

Kwa kila oroshe Umoshe
So ukijificha kwa Twitter it's okay
24/7 we open nataka zote
Ka hii society rotten

Mara ngapi nimebambwa, zote
But si unajua ni lazima nitoke
Mimi sifuatangi process 
Ilibidi niwaoshe woshee

Tei ama vela hio ni swali gani
Mi nataka zote (Zote)
Sijui niende show ama hustle
Bora ina pesa, mi nitaeka zote

Banga anashindwa ni mwizi ama pedi
Hanaga habari ju nakaa zote
Mkidi ni fees, wifey na bills
Feeding the streets

Zote zote, zote zote zote
Man on the box, mi nataka zote
Ninunue kichaka ama benzo imewaka
Fck it mi nataka zote 

Msupa ni mweusi ama color ni aiyela
Ni jegi ama haga amebeba, zote
Mkidi ni fees, wifey na bills
Feeding the streets, zote

We were fine ila pesa ilikuja 
Ikafanya siwezi kuamini
Siwezi decide ni Benzo ama Bima
Ikibidi naitisha mbili

Mi nashine na najuaga inakuuma
Ka hater usicheze na mimi
Coz everytime hawa mabanga ni chai
Upuzi itaisha lini?

Uh nilikuwa na mengi moyoni
Ikabidi nimeamua kuandika kwa song
Maisha ya kujulikana na hakuna mkwanja
Mi staki hiyo form (No no no)

Me and my bros, sinanga form
I'm in my zone
Wote wanaendaga wakirudi
But though sikubali kubaki kwa chuom

Uh mnaeza endelea na pang'ang'a 
Bora mi nitaenda na doh
Wifey na sidechick hawajaipendana
Lakini nawapenda both

Najuanga naconfuse matha
Hajuangi hii pesa ni ya mziki ama ndom
Zote bora na gather 
Nilete dishi nikirudi home

Uh uh! Tei ama vela hio ni swali gani
Mi nataka zote (Zote)
Sijui niende show ama hustle
Bora ina pesa, mi nitaeka zote

Banga anashindwa ni mwizi ama pedi
Hanaga habari ju nakaa zote
Mkidi ni fees, wifey na bills
Feeding the streets

Zote zote, zote zote zote
Man on the box, mi nataka zote
Ninunue kichaka ama Benzo imewaka
Fck it mi nataka zote 

Msupa ni mweusi ama color ni aiyela
Ni jegi ama haga amebeba, zote
Mkidi ni fees, wifey na bills
Feeding the streets, zote

Uh, Tei ama vela hio ni swali gani
Mi nataka zote (Zote)
Sijui niende show ama hustle
Bora ina pesa, mi nitaeka zote

Banga anashindwa ni mwizi ama pedi
Hanaga habari ju nakaa zote
Mkidi ni fees, wifey na bills
Feeding the streets

Zote zote, zote zote zote
Man on the box, mi nataka zote
Ni nunue kichaka ama benzo imewaka
Fck it mi nataka zote 

Msupa ni mweusi ama color ni aiyela
Ni jegi ama haga amebeba, zote
Mkidi ni fees, wifey na bills
Feeding the streets, zote

Watch Video

About Zote

Album : Zote (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 23 , 2020

More SCAR MKADINALI Lyrics

SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl