Mbaya Lyrics by ROMANTICO

 [CHORUS]
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa

[VERSE 1]
Tuko darasani kabla mitihani
Tusake elimu ya thamani
Jibu ma Swali ya Hivi sasa
Nifanye bidii Ili nie de mbali
Nina damu nguvu Kweli kakusifu
Kama mungu  Ulimwengu Kila siku
Niwe huru Sitataka wivu
Naogelea nitakuwa samaki mkuu
Unatoweka  Ninateseka
Ninahisi hii ni maana ya maisha
Nitakaa Amerika Kukuona
Nitakupata Tutarudi Kenya

[CHORUS]
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa

[VERSE 2]
What I fill deepest in my heart
I Never knew baby girl utani hurt
Ulikuwa mpole siku ya kwanza nkakupenda
A baby girl hivi muda muda
Ukafwata magari tuna mapesa
Nop nop sikutaka kukufwata
Uliniona mimi kweli ni mjinga
Ukanibeba tena Mimi ni mfala
Wacha wakuchoche utanirudia
 Baby girl wewe niwangu yeeaa
 Nilikupenda ukanitenga
 Hizi vitu ndogo ndogo niza nini
A wacha raha wacha raha ewe Dada
Awacha A wacha pengo wacha pengo LA mapenzi
Niko ndani ya moyo nitakupenda  maaa
uwe wangu na mimi nitakupenda

[CHORUS]
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa

[VERSE 3]
Me traicionaste
Como una gata mala
Eres pieza rara
Como una cualquiera
Me traicionaste
Y luego me mataste
Me llevaste
Y luego me dijiste
Esto no es seguro
Jugaste conmigo
Con mis sentimietos
Eres mala
Como la carroña
Eres una ñoña
Como todo una bruja
Comes corazones
Y me dejas sin razones
Vienes y me lloras
Luego me ilusionas
Te vas y me engaña
Eres una araña
Con belleza rara
Fire fire fire fire
Solo son patrañas
Me enamoras
 Luego me engañas
Eres Traicionera
Eres maliciosa
Un perfume de belleza
que luego te traiciona
Wewe ni mbaya

[CHORUS]
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa

A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
A pam pam A pam zigi zee
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Wewe ni mbaya, umenidanganya
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa
Mbona ukanicheka, mbona ukanichesa

 

Watch Video

About Mbaya

Album : Mbaya (Single)
Release Year : 2018
Copyright : (c) 2018
Added By : Jason Dunford
Published : Dec 21 , 2018

More ROMANTICO Lyrics

ROMANTICO
ROMANTICO

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics 

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl