Mr Xmas Lyrics
Mr Xmas Lyrics by ROMA
Mr X Mas
They call Mr X mas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Wananiitaje Mr Xmas
They call Mr X mas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Najiuliza watoto wa siku hizi nani anayewauzia Tobacco
Kabla hawajavaa soksi wanaanza kuvaa viatu
Alafu ndo wavae soksi kweli viatu
Vichea boxi leo wamechezea sharubu za mgosi
Sana wafanya wafu
Na pesa hakuna so hakuna Tanga ndugu
Hadi chawa wanajikuna raoundi hii kweli watatubu
Walisema mitano tena dingi ndani ya Soweto
Demokrasia na vyama vingi leo wanaipigia punyeto
Hawaaminiki watawala na wanaharakati
Kwa maana naandika yes kwa mkaaji milalame ya kuondoa babake
Ili msivyone vingi na msiyaige hayo mautundu
Mhuni nimekata lingi niko ghetto nakuna --
Na na mshukuru Mungu kikubwa hai mwanakwetu
Na ukidaka fungu sipendi, kwani hii dunia ni yetu
Wakinywa Moet, kunywa Vant, wakinywa Hennessy, kunywa bapa
Utaumwa figo, utaumwa ini na wote tutazikwa hapa
And that's what up now I'm pretty sure
I'm spitting pure, pure mathematics
And now I really poor, in this cold world
Fake Mcees, work Mcees, and I can see
And -------------
Wananiitaje Mr Xmas
They call Mr X mas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Wananiitaje Mr Xmas
They call Mr X mas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
------
------
Jingle bells Jingle bells Jingle all the way
Oh what fun, It is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells jingle bells
Jingle all the way! (They call me Xmas)
Oh what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Wananiitaje Mr Xmas
They call Mr X mas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Wananiitaje Mr Xmas
They call Mr X mas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Watch Video
About Mr Xmas
More ROMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl