Wese Lyrics
Wese Lyrics by RHINO KING
Wana mmeiona iyo
Jinsi ilivyonona iyo
Siingii na goma iyo
Hebu kwanza taratibu
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Nimeshafika Shell
Baby ngoja niweke (Futa)
Message za masponsor
Pita pita kote (Futa)
Unavyokuwa unahema
Bwekere za milena
Rojorojo tetema
Nah nah nah nah
Si ndo watu walosema
Kachokaga mapema
Kwenye kufanya vyema
Nah nah nah nah
Fanya mambo ininogee
Ininogee (Futa)
Lamba lamba inikolee
Inikolee (Futa)
Wana mmeiona iyo
Jinsi ilivyonona iyo
Siingii na goma iyo
Hebu kwanza taratibu
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Iko tight inabana
Vile tu nawezana
Pia ananichanga ee
Ananichanganya
Si mfupa ni manyama
Huyu mtoto ana nani
Mi ananichanganya ee
Ananichanganya
Fanya mambo inikolee
Aii inikolee (Futa)
Lamba lamba ininogee
Aii ininogee (Futa)
We nionyeshe manjonjo
We nionyeshe manjo
We nionyeshe manjonjo
We nionyeshe (Futa)
We nionyeshe manjonjo
We nionyeshe manjo
We nionyeshe manjonjo
We nionyeshe
Wana mmeiona iyo
Jinsi ilivyonona iyo
Siingii na goma iyo
Hebu kwanza taratibu
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Ngoja niweke wese (Futa)
Watch Video
About Wese
More RHINO KING Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl