
Huniachi Lyrics
Huniachi Lyrics by REUBEN KIGAME
Umeahidi wewe bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba
Unalijua jina langu ewe bwana huniachi
Unatengeneza njia hata mito kule jangwani
Wewe ndiwe alpha na omega huniachi
Ukamtoa danieli kutoka tundu la simba
Wewe huwainua na wanyonge siku zote
Watuepusha na hatari kila siku usifiwe
Marafiki nao wanaweza nigeuka
Mara kwa mara maadui wanizunguka
Nitaishi kwa ahadi yako bwana huniachi huniachi
Watch Video
About Huniachi
More REUBEN KIGAME Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl