REKLES Ghost Ya Amin dada  cover image

Ghost Ya Amin dada Lyrics

Ghost Ya Amin dada Lyrics by REKLES


Nipe doh  Nipe doh
Fyatu mathare mtaani
Jinga mbona unashangaa
Ni kama jo unadhani najali
Sio sigara nipe bangi
Combination na majani
Chuo nilichafua mabiz eeh
Daro nikinda osali eeh
Nafeei ka kama ghost ya amin dada
Nafeei ka kama ghost ya amin dada

Staki zaga za mabish eeh
Nadai muiia leta biz mmh
Kimya na stori za peace eeh
Ukitaka sa anza beef eeh
Zigi zaga zaga zii eeh
Mi huspit jo risasi
We bado kabobby mistari
Cheki nigga joh ako njaa ee
Dryspell miezi kadhaa ee
Ata mawe jo na star
Pussy ni pussy jamaa eeh
Ubaguzi kwangu cancer
Jaza mbby jo na tusker
Piga kuni kama pornstar
Choma fua chora roster
Mister mi king wa rap
Leo umetii unibudu pia
Si ndio bado kwa kiabu
Hubonda vichwa chupa ya mzinga
Mini k shark abass vigetti
Nyash na ghost ya E- sir
We ni softi kabachi mahn
na kina Justin birber

Nipe doh  Nipe doh
Fyatu mathare mtaani
Jinga mbona unashangaa
Ni kama jo unadhani najali
Sio sigara nipe bangi
Combination na majani
Chuo nilichafua mabiz eeh
Daro nikinda osali eeh
Nafeei ka kama ghost ya amin dada
Nafeei ka kama ghost ya amin dada
Nafeei ka kama ghost ya amin dada
Nafeei ka kama ghost ya amin dada


Nipe doh  Nipe doh
Fyatu mathare mtaani
Jinga mbona unashangaa
Ni kama jo unadhani najali
Sio sigara nipe bangi
Combination na majani
Chuo nilichafua mabiz eeh
Daro nikinda osali eeh
Kwa jikome hupika hawa marapper
Tapika nina appetite wagwan
Jamaa me mgreedy
Matym jo inabidi nikam
Show zenyu na panga
Katakata gwaaash me ni raste
Peddy nab ado me pastor
Naitisha sadaka na ukuje na noti
Chini ya rwabe jo blunder
Me hupenda kufloss kwa giza
Bila haga jo we si diva
Nipe namba leo
Kesho kutwa unaonekana
Area za mtaa na mimba
Roho ya hitler mwili juu ya mwili
Zika bila feelings wacha niwape siri
Majamaa wawili ndani ya mwili moja eeh
Boy ntakubonda you wannabe
Yuie msee aliona a kwa P.E
Ndanda si danda ju mode na haga
Nilichwara juu alitaka nimpe D
Miaka kadhaa ni ka nilichoma fee
Saikuchoma tire
Kwa kila beach yeaaah
Niite kabogo ama kirubi
After miaka kumi nitakuwa the shieeet

Nipe doh  Nipe doh
Fyatu mathare mtaani
Jinga mbona unashangaa
Ni kama jo unadhani najali
Sio sigara nipe bangi
Combination na majani
Chuo nilichafua mabiz eeh
Daro nikinda osali eeh
Nafeei ka kama ghost ya amin dada
Nafeei ka kama ghost ya amin dada
Nafeei ka kama ghost ya amin dada
Nafeei ka kama ghost ya amin dada
Nipe doh  Nipe doh
Fyatu mathare mtaani
Jinga mbona unashangaa
Ni kama jo unadhani najali
Sio sigara nipe bangi
Combination na majani
Chuo nilichafua mabiz eeh
Daro nikinda osali eeh

 

Watch Video

About Ghost Ya Amin dada

Album : Ghost Ya Amin dada (Single)
Release Year : 2017
Added By : Afrika Lyrics
Published : Dec 19 , 2018

More REKLES Lyrics

REKLES
REKLES

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl