Kweli by RASCO Lyrics

Rasco - Kweli lyrics

Hivi ni kweli Mbogo movie imekufa
Wema kawa muuzaji Steve ni mtangazaji(Kweli)
Wanasema majungu sio mtaji 
Kweli kondoo wa Bwana aliliwa na mchungaji(Kweli)

Sifa zilimponza mjinga
Bungani wanataka swara apambane na simba(Kweli)
Eti ni kweli mziki unalipa 
Maana naskia siku hizi kila msanii ana bondia(Kweli)
Nacheka na mambo ya kidunia 
Aliyeshawishi maandamano mwisho alikimbia(Kweli)

Vijana wanakimbia majukumu (Kweli)
Eti mtaani hali ni ngumu(Kweli)
Madem wanagongeana room(Kweli)
Masela tunangongeana doom(Kweli)

Kweli, kweli
Kweli, kweli
Kweli, kweli
Kweli, kweli

Msela akija ghetto eti anakalia ndoo
Ila dem akija ghetto anakalia --(Kweli)
Vijana wanavaa busu bukta
Ukiacha heri naskia na bangi wanavuta(Kweli)

Msije mkajikuta mnajuta 
Si mnajua utamu wa mboga naujua chief cooker(Kweli)
Ukweli tunausema inapobidi
Naskia Roma katoa ngoma kakimbia jiji(Kweli)

Mambo yote Mungu ndo anapanga 
Si mnajua kuwa ubuyu haumumunywi na karanga(Kweli)
Miaka inakwenda inaskuli 
Na Rais wetu ni Joseph Pombe Magufuli(Kweli)

Vijana wanakimbia majukumu (Kweli)
Eti mtaani hali ni ngumu(Kweli)
Madem wanagongeana room(Kweli)
Masela tunangongeana doom(Kweli)

Kweli, kweli
Kweli, kweli
Kweli, kweli
Kweli, kweli

Yeah yeah yeah..

BASATA walimfungia naniii
Shabiki alitukanwa na msanii
Mpira ulivunja ndoa ta nanii
Rasco kipenzi cha jamii(Kweli)

Music Video
About this Song
Album : Kweli (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Jan 30,2020
More Lyrics By RASCO
Comments ( 0 )
No Comments
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics