
Happy Nation Lyrics
...
Happy Nation Lyrics by RAPCHA
Nimeamka asubuhi bila motivation
Na kichwani nikiwa na so so many questions
Naongea na Baba please show me direction
Kuona hizi hatua inahitaji dedication
Kuna muda tuna pop bottles celebration
Thou tuko very sad kwenye Free Nation
Najikuta naover think kila situation
Ili nitulie ninahitaji meditation
Mitihani ya maisha no preparations
Ubinadamu kazi mwisho kifo haina pension
Maisha movie la kivita tunafia location
Yanakwenda yalivyopangwa no complication
Kuna kitu inaitwa muda haina compensation
Ila ukiwa na imani unaweza pata compensation
Mungu anaweza kurudisha miaka 7 iliyopotea kwenye mwezi mmoja kukiwa na determination
Any questions?
Tunatabasamu usoni ila tuna majonzi moyoni
Tutafika kwenye Happy nation
Happy nation
Tutafika Happy nation soon
Tutafika kwenye Happy nation
Happy nation
Tutafika Happy nation soon
Tutafika kwenye Happy nation
Miaka mingi ninafight for liberation
Bado nina suffer na police oppression
Usipofunga hilo bakuli kwa Intimidation
Kesho yake watakushusha kwenye Happy Nation
Mapenzi matamu zaidi ya mango passion
Wanaopendwa hii kwao sio exagerattion
Raha ya mwanzo italeta expectations
Maumivu fainali muda wa separation
Kila 24 hours nina prayer session
Nina mengi ya kushukuru kila situation
Baby mama kajifungua bila complication
Sauti yangu ina penetrate kila nation
Tunatabasamu usoni ila tuna majonzi moyoni
Tutafika kwenye Happy nation
Happy nation
Tutafika Happy nation soon
Tutafika kwenye Happy nation
Happy nation
Tutafika Happy nation soon
Tutafika kwenye Happy nation
Kazana
Pambana
Amini tutafika
Kazana
Pambana
Amini tutafika
Watch Video
About Happy Nation
More RAPCHA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl