Unajua Lyrics by THE DREAMERS


Haaaaaaaaaaaaaaaaaah
Aaaaaaaaah aaaaaaaaaah

Anha.. Napanda mpaka juu mama
Nasema mshale umenigusa kwenye nyama nyama
Turn your lights down low (turn your lights down low)
Achana na washamba hawawezi show
Umenifundisha fundisha vitu vingi kwenye love
Umeni teach how i can do
Umewafuni funika 
Na madem wa zamani
Nimefika please baby njoo aah
Nasemaga we mama
Mapenzi unayo nipa ni sooo
Unajuaga nidekeza
Mpaka najiona mdogo 

Natenaa weeeee (muyemba)
Mvua inayonyesha jangwani 
Mi nawe mkufu kidani
Penzi la utamu wa vitendo
Umelinogesha lichunge pendo
Chunga malengo darling 
Tufike lengoo

Unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa
Unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa
Unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa
Unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa

I love the way you talk (rotizee)
I love the way you walk
Kwenye safari hii ya mapenzi
Tuwe wote usnitose (come on)
Wataka gari kubwakubwA
Usijali baby takununulia na nyuma
Ulinzi mkali sio wa mbwa
Takuletea chui serengeti aje kulinda
First vacation yetu torontoo
Ukirudi baby unipatie katoto
First vacation yetu torontoo
Ukirudi baby unipatie katoto

Ni wee pekee unanifanya ni breath 
Oooh hakuna mwingine wakunitoa stress
Nikikuona nguvu zinisha 
Mwili wote unazizima 
Na nishashona uzibe umeisha 
Twende wote kwenye kisimAaa

Unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa
Unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa
Unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa
Unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa

Watch Video

About Unajua

Album : Unajua (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Sep 27 , 2021

More THE DREAMERS Lyrics

THE DREAMERS

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl