True Love Lyrics
True Love Lyrics by RAMSOH LATIHNO
Oh na na na
Latinho haha
Nime fall in love with you
Nime realize siwezi kudeny, it’s
We ndo sinyorita, we ndo mamacita
We ndo malaika, kote unasifika
We ndo sinyorita, we ndo mamacita
We ndo malaika, kote unasifika
Tukiwa nawe kama mapacha
Cheza rhumba mama sakata
Kwenye runinga shika kipaza
Wazi wazi tiinatangaza
Tukiwa nawe kama mapacha
Cheza rhumba mama sakata
Kwenye runinga shika kipaza
Wazi wazi tiinatangaza
Njoo nikupe love, nikupe love true love
Malavida malavida
Njoo nikupe love, nikupe love true love
Malavida malavida
We ndo wangu wa thamani kukuacha siwezi (ma beibe)
Penzi letu ni safari twatoka mbali
Tumekula kiapo, forever me and you
Tena mbele ya macho, together me and you
Tukiwa nawe kama mapacha
Cheza rhumba mama sakata
Kwenye runinga shika kipaza
Wazi wazi tiinatangaza
Tukiwa nawe kama mapacha
Cheza rhumba mama sakata
Kwenye runinga shika kipaza
Wazi wazi tiinatangaza
Njoo nikupe love, nikupe love true love
Malavida malavida
Njoo nikupe love, nikupe love true love
Malavida malavida
Penzi letu liko verified
Kwenye vitabu kama adam na hawa
We ni wangu hatuwezi hide
Ongeza utamu mama nishapagawa
Hwenye hazi we ndo energy
So, kama dibanji nakusoma be fore
Am your jayz, you know you are my Beyoncé
Mamacita acha nikuite fiancé
Cinyorita mi sitaki nikukose
Malaika twende kwenu nikupose
Tukiwa nawe kama mapacha
Cheza rhumba mama sakata
Kwenye runinga shika kipaza
Wazi wazi tiinatangaza
Tukiwa nawe kama mapacha
Cheza rhumba mama sakata
Kwenye runinga shika kipaza
Wazi wazi tiinatangaza
Njoo nikupe love, nikupe love true love
Malavida malavida
Njoo nikupe love, nikupe love true love
Malavida malavida
Malavi davi lavi lavi
Baeibee
Njoo nikupe true love
Njoo nikupe true love, true love ma beibe
You’re my everything, everything ina mi yad
Haha
Watch Video
About True Love
More RAMSOH LATIHNO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl