CCM Safii Lyrics
CCM Safii Lyrics by QUEEN DARLEEN
(Ayolizer)
Wasafi Records!
Vile umeisuka nchi yangu
Wacha nijivunie
Nishaweka nukta
Kura yangu wacha nikupatie
Umetoa fursa
Serikalini wanawake tuingie
Sasa mambo super
Magufuli acha nikusifie
Na umeboresha mahospitali
Wamama watoto umejali
Umeongeza madaktari
Vijijini sasa ni shwari
Tazara barabara tayari
Ya koti mpya kwa safari
Ubungo foleni sa shwari
Juu na chini magari
CCM naipendaga, enhe
Iko safi safi, enhe
Magufuli nampendaga, enhe
Yuko safi safi, enhe
CCM naipendaga, enhe
Iko safi safi, enhe
Mama Samia nampendaga, enhe
Yuko safi safi, enhe
CCM imefuzu
Na haiwezi anguka
Itabaki juu juu
Wapinzani wameshayeyuka
Ushindi wazi wazi
Magufuli acha tumpatie
Kwa anavyofanya kazi
Mwaka 2025 na tano awe nasi
Meli imeweka nanga
Haijawahi kuyumba
Yaani tumejipanga
CCM tunadunda
Na umeboresha mahospitali
Elimu bure mpaka sekondari
Umeongeza madaktari
Vijijini sasa ni shwari
Tazara barabara tayari
Ya koti mpya kwa safari
Ubungo foleni sa shwari
Juu na chini magari
CCM naipendaga, enhe
Iko safi safi, enhe
Magufuli nampendaga, enhe
Yuko safi safi, enhe
CCM naipendaga, enhe
Iko safi safi, enhe
Majaliwa nampendaga, enhe
Yuko safi safi, enhe
Wapinzani wamepotea, wamepotea
Wapinzani wamepotea, wamepotea
Magufuli waonyeshe, wamepotea
Wanatapatapa, wamepotea
Na mafisadi wakomeshe, wamepotea
Wakanyage ka marapper, wamepotea
Watch Video
About CCM Safii
More QUEEN DARLEEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl