
Sitaki Lyrics
...
Sitaki Lyrics by FOUNDER TZ
Olaaaa
Eyo trone
Staki founder staki mie
Staki founder staki mie
Leo nina story me nataka niwanbie
Hadithi hadithi niwa simulie
Ninayo mengi ma nataka msikie
Hadithi hadithi niwa simulie
Leo nilikua zangu mishe nime choka
Akaja mdada fulani anaitwa hanifa
Yule mnae mjua mtaani kwamisifa
Ila alicho kisema leo
Ninashindwa ata kuadithia
Hadithi njoo njooo utamu kolea
Dogo tupe hiyo stori kama imeanza kukolea
Bado na waza vishawishi vinanielemeya
Nilivyo kinda na mazito aliyo nambia siwezi
Eti anaipenda me
Kumbe ananitaka
Kasema ananiwaza me
Moyo wangu umesha kataa
Eti anaipenda me
Kumbe ananitaka
Kasema ananiwaza me
Moyo wangu umesha kataa
Bado nawaza yooo
Nita yaweza wapi hayooo
Maana umri wangu bado mdogooooh
Ila kaniahidi vitu vingiyoooh
Eti majumba magari
Ukikubali nitakupa range rover gari
Aku sitaki
Nita yawezea wapi mishangingi yaleo
Nitaweza wapi hayo mambo ya video
Hadithi njoo njooo utamu kolea
Dogo tupe hiyo stori kama imeanza kukolea
Bado na waza vishawishi vinanielemeya
Nilivyo kinda na mazito aliyo nambia siwezi
Eti anaipenda me
Kumbe ananitaka
Kasema ananiwaza me
Moyo wangu umesha kataa
Eti anaipenda me
Kumbe ananitaka
Kasema ananiwaza me
Moyo wangu umesha kataa
Watch Video
About Sitaki
More FOUNDER TZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl