Nisaidie Lyrics
Nisaidie Lyrics by PAMMY RAMZ
Nimkosee kwanini?
Rafiki yangu alikubali
Kukosa yote sababu yangu
Nimkosee kwanini?
Nimwache sababu gani
Rafiki yangu alikubali kuacha yote
Sababu yangu, nimuache sababu gani?
Itaanzaje nimsahau?
Alisema mama hawezi sahau mwana
Lakini yeye hawezi kunisahau
Nimkosee kwanini?
Rafiki yangu alikubali
Kukosa yote sababu yangu
Nimkosee kwanini?
Na nimwache sababu gani
Rafiki yangu alikubali kuacha yote
Sababu yangu, nimuache sababu gani?
Itaanzaje nimsahau?
Alisema mama hawezi sahau mwana
Lakini yeye hawezi kunisahau
Itaanzaje nimsahau?
Alisema mama hawezi sahau mwana
Lakini yeye hawezi kunisahau
Nisaidie Yesu nisikuache
Mbele ya dunia nisikuangushe
Nisaidie Yesu nisikuache
Mbele ya dunia nisikuangushe
Nisaidie Mola nisikuache
Mbele ya yote nipatane nawe
(Ache ache ache oh...)
Alisema mama hawezi sahau mwana
Lakini yeye hawezi kunisahau
Alisema mama hawezi sahau mwana
Lakini yeye hawezi kunisahau
Oh nisaidie Yesu
Nisaidie Yesu nisikuache
Mbele ya dunia nisikuangushe
Nisaidie Yesu nisikuache
Mbele ya dunia nisikuangushe
Nisaidie Yesu nisikuache
Mbele ya dunia nisikuangushe
Nisaidie Yesu nisikuache
Mbele ya dunia nisikuangushe
Watch Video
About Nisaidie
More PAMMY RAMZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl