Ndoto Lyrics
Ndoto Lyrics by PAMMY RAMZ
Ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto yangu nikuone
Nikuone eeh
Ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto macho ikuone tu
Ipone eeh
Nimesikia mengi kukuhusu
Maneno matendo uliyoyatenda
Yamebadili maisha ya wengi
Nimeamini
Limebarikiwa jicho lililokuona
Chozi lake silo la huzuni ila la furaha
Natamani nikuone maishani
Ili nipate furaha
Ndoto, ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto yangu nikuone
Nikuone eeh
Ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto yangu nikuone
Nikuone eeh, ndoto yangu nikuone
No eye has ever seen you
And remain the same
No ear have ever heard your deeds
Without being transformed
By the renewing of the mind
To live according to your will
No man has ever had an encounter with you
And remain the same way they used to be
My desire God is to see you in my ministry
In my life just to see you
Halina hofu jicho lililokuona
Uoga wake umeumizwa na ujasiri
Ooh natamani nikuone maishani
Ili nipate ujasiri
Limebarikiwa jicho lililokuona
Chozi lake silo la huzuni ila la furaha
Natamani nikuone maishani
Ili nipate furaha
Ndoto, ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto yangu nikuone
Nikuone eeh
Ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto yangu nikuone
Nikuone eeh
Ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto yangu nikuone
Ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto yangu nikuone, nikuone eeh
Ndoto yangu nikuone
Kipenzi cha roho
Ndoto yangu nikuone
Ndoto nikuone eeh
Watch Video
About Ndoto
More PAMMY RAMZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl