Walahi Lyrics
Walahi Lyrics by KANAMBO DEDE
(Kaka Empire is the lifestyle)
Nilikuwa naishi Kayole
Nikapigwa ball nikarudi kwa mokoro
Sina hata form sijui kulea mtoto
Pesa kidogo matumizi nazo mob jo
Riba ni zangu zinatrend kwa masoko
Alipata ball na alikuwanga mono
Sasa mtoto amepata mtoto
Na burden yote imeland kwa mokoro
Wanauliza nani ako responsible?
Ni fala flani I don't like talking about
Rewind from the top nikushow vile ilistart
After ryma nikaingia seco
Mama akanyc atleast ako na hope
It's a good start for a first born
Nilibambika coz I was at another level
Stori ya Bio na Chem hatuwezi nego
Sikuwanga into studies tangu kitambo
Backbench jeshi yangu jeshi ya mambo
Mahomies wangu wote ni ka mapsycho
Party after party hakuna kurudi home
Mathe akadai that's it am on my own
Nikabidi niende ghetto kusaka form
Kamau wa Thufu ndo alikuwa my first boss
Mi na swao nawatibu hangover ya ng'ang'o
One day from work nikafika home
Nikapata roommate ameteka huyu boy
Okey okey...
Lakini ni ka hana form
Day one day two kijana haendi kwao
To cut the story short alishapatanga hao
Before we even see it tushakuwa family
Nishapata shem to me he is just a friend
Mwenyeji akazied akaniacha na mgeni
Alichoka maisha ya ghetto ye hawezani
Lakini hakumedi ananiacha na nani
With a stranger under one roof
Raha nani nakwambia ni ka movie
Ya hyena na meat meat
Dubs alicheat na mimi
Siogopi kusema coz I ain't sorry
Ikakuwa big deal am the bad bestie
Akaeka beef si kidogo ingine real
Wakarudiana nikakuwa bunny
Wakaachana akarudi side hii
Kijana ako na lugha nikashindwa kuresist
One big mistake problems begin
Kwa Kamau wa Thufu nilikuwa nisharesign
Nikaenda kwa mathe department ya cham
The beauty and the lazy mi ndio nalipa bills
Si wananiambia nimuache siskii
Nika amenitepa things
Am very fertile na ye anacheza fiti
Nikaacha job am very dizzy
Mara oh am sleepy, didn't know am risking
Mwenye nategemea he is more than lazy
Nikazoea njaa na kuhandwa na malandi
One morning am yawning
Kalonje hana kicks ujue ni ngori
Naitisha za mashuksha ananishow jo nichill
That's it am done with this shit
Narudi home hope mathe ataniforgive
Makosa nilifanya si ati nilikill
So kenye nafanya nitapark and leave
Najua si rahisi lakini huko ndo ngamani
Nilibreak her heart vile nilikataa kustudy
Ubaya ya maji ikimwagika haizoleki
Mapenzi ya mathe real ting haifichiki
Akanikubali msamaha tukaishi
9 out of 9 siku hainaga utani
25th ngware one akakam in
My son am a proud mummy
God hizi ni blessings, haha...
Kadi sikucheza yard
Lakini Wayne apate kidish walai
Soon nicheki kwenye flight
Lakini now hamnifunzi kufish walai
Walahi ooh walahi
Walahi ooh walahi
Kadi sikucheza yard
Lakini Wayne apate kidish walai
Soon nicheki kwenye flight
Lakini now hamnifunzi kufish walai
Walahi ooh walahi
Walahi ooh walahi
(The beat killer)
Watch Video
About Walahi
More KANAMBO DEDE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl