Uninyunyizie Maji Lyrics
Uninyunyizie Maji Lyrics by OUR LADY OF FATIMA KONGOWEA CATHOLIC CHOIR
Uninyunyizie maji (Bwana)
Uninyunyizie maji (Bwana)
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa

Mimi ni mwenye dhambi (Bwana)

Natamani nije kwako (Bwana)

Naingia nyumba yako (Bwana)

Niuone uso wako (Bwana)

Nifurahi milele (Bwana)

Watch Video
About Uninyunyizie Maji
More OUR LADY OF FATIMA KONGOWEA CATHOLIC CHOIR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl