Arimis Lyrics
Arimis Lyrics by JODYE FANETO
Naraise funds kaa Riley Freeman
Mi na ma G wa mine on road
Nikisell hio shit to your weedman ni Thao kaa 24
Budda my life ni movie mi ni Jack Bauer kwa 24
Unabonga trap Jodye nabring hio shit kwa door
Kaa ni kustep Nina magwash kaa 74
Give man PTSD this that shit you get therapy for
Lazio matime ni 4 but 12 wanafanya tuset on toes
Kunishika lurking never before
Mi Niko Jeri narusha Mushiri Jo wasitiri
Arif alitekana iPhone Jana nlimpata akibonga na Siri
G3 ni injili, silly nyi makafiri
Si tuko streets Hadi ituvalishe Amiri
Shawrry wa kwako ni freebie akinidigi mi namdigi
Bitch akiniitia mechi namwacha amebeat utadhani ni ligi
Still namcheza kaa Super Mario na Luigi
Fuck hao mapeng wa Lavi Jodye napenda mahoe wa kijiji
Ngoma za kwenyu ni dry Budda try mzipake ARIMIS
Nigga akijaribu sneak diss shit inaget ballistic
Na run man down kaa Olympics Budda mi ukinifikisha limit
Unachachisha kwa mic budda that ain't your characteristic
Bro anaitinga Biggie namshow nyonga hio size tuko shugli
Cheza na ganji ya mine hii time ya month mi na get moody
Mahali umetoka Rudi unabonga Sana kaa Peter Drury
Naleta war in your hood gang inamove kaa Call Of Duty
Faneto na Neevo kwa beat tunakam Kaa Ziggy na Gucci
Your favourite rapper's chewy namfeast for lunch kaa sushi
Usitry send shots we ni Revolver mi ni Uzi
Si lazima nizue na gang on God nachachisha solo kaa lucci
Watch Video
About Arimis
More JODYE FANETO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl