Ander Herrera Lyrics
Ander Herrera Lyrics by JODYE FANETO
Jo Niko field naleta pressure, Ander Herrera
Nlidhani ntachorea hii shit
But track zinaplayiwa rotejo na makamagera
Ma G wa mine kwa streets wako about hio bank kaa teller
Kila zing anadai ako field Noma ni we ni spectator
Nacheki vile mnabonga mnasound macommentator
Acha hizo story za itoka Budda we hujai Ata ona Berretta
Unasaka work no cap Jodye ndio seller
Design jo nimejipin unaeza dhani nimepewa tender
Piga hio order nafika Ata kaa ni Fedha
Mwere amecatch walai nimetoa mister man kwa meda
Nliambia Huyu shawrry relax pussy ndo kenye unaleta kwa meza
Siezi kucuff sifuck na 12 siezi jicheza
Peng amenishinda miaka 12 but still anadai kuimeza
Mi nai jeet run to the field still mi nakam na hio pressure
Shikwa lurking kesho itabaki Jo umepimwa pressure
Budda alikulwa nyanya ya macho Budda akamwaga ketchup
Budda hizi ends utapata nose wipe Unadai kugenya
Mnandi wa mine akikurun down mi naguarantee utahema
Feds waniwai Nina Kiswahili kaa mmijikenda
Hawajatueka pingu mi nashow Salty tung'ade mi naenda
Mi naput pressure kwa streets kaa Modie mi ni daily offender
Si unajua mi ni crazy EastEnder
Stripes hood ya mine sema chuom sijaenda
Track zenyu mnasound pretenders
Mmeingiza baridi labda ndio maana mnadunga mask na weather
Nigga ni msoft kaa feather
Ukinipata na Billy tunapiga stroll 58 atakuperemba
Na usichachishe lenga utapewa beats kaa Magix Enga
Squad yangu invincible utadhani coacharee ni Arsene Wenger
Usijaribu kutest bro Ka hutry kupata fender bender
Jo Niko field naleta pressure, Ander Herrera
Nlidhani ntachorea hii shit
But track zinaplayiwa rotejo na makamagera
Ma G wa mine kwa streets wako about hio bank kaa teller
Kila zing anadai ako field Noma ni we ni spectator
Jo Niko field naleta pressure, Ander Herrera
Nlidhani ntachorea hii shit
But track zinaplayiwa rotejo na makamagera
Ma G wa mine kwa streets wako about hio bank kaa teller
Kila zing anadai ako field Noma ni we ni spectator
Watch Video
About Ander Herrera
More JODYE FANETO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl