Zichune Lyrics by OTILE BROWN


Hahaha acha aisee, sheesh!
Vicky pon dis, yeah aii ah-ah
Wooza

See your smile, ooh wee ooh
See your body hips, don't lie
Why you fine though?
Now am on your case, now see my life

See that smile, ooh wee ooh
See that body, hips don't lie
Am so fine now
Now you on my case, now see your life

Nimeiacha namba yako 
Mi na me naam kupigia
Nawe acha pupa yako
Nipe muda nifikirie

'Shangaa iPhone X unadai bado
Trip ya Paris unasema bado
Begi la Channel unadai bado
Unanikomoa mama hadi bando

Niambie mama, utakalo sawa
Niambie mama, usemalo sawa
Coz am so in love mama, utakalo sawa
Niambie mama, usemalo sawa

Zichune...
Ooh eeh, basi nikomoe unimalize
Zichune...
Alright, basi nifilisi unimalize

Zichune...
Aaah-aah, basi nikomoe unimalize
Zichune...
Alright, basi nifilisi unimalize

Eeh, ooyaah
Eeh, ooyaah

I know you want a girl 
To make you fall in love with me
I know you don't love me
I know you just want to tap it

Baba we,  
Mapenzi shamba uyapande
Uyavune, eeh bwana wee
Mapenzi kulisha na unilishe 

Acha!

Sema we ni poko(poko), poko, poko(poko), nyoko
Kama mzigo uko soko(soko), soko, soko(soko), soko
Sema acha longo longo
Nisije regret(nyoo), nisije regret

Acha fuka fuko, foko, foko, foko
Lazima atoboke mitoboko, boko, boko, boko
Mwenyewe umejaa kwenye mboko 
Mboko, mboko, mboko(aah...sawa pole mama)

Niambie mama, utakalo sawa
Niambie mama, usemalo sawa
Coz am so in love mama, utakalo sawa
Niambie mama, usemalo sawa

Zichune...
Ooh eeh, basi nikomoe unimalize
Zichune...
Alright, basi nifilisi unimalize

Zichune...
Aaah-aah, basi nikomoe unimalize
Zichune...
Alright, basi nifilisi unimalize

Tena nifilisi unimalize mama
Mmmh na hii...

Basi, tena danguro  
Danguro aah, Danguro, nidondoe
Danguro, cougar danguro wewe
Danguro, basi nidondoe eeh

Watch Video

About Zichune

Album : Zichune (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 28 , 2019

More OTILE BROWN Lyrics

OTILE BROWN
OTILE BROWN
OTILE BROWN
OTILE BROWN

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl