Boss Lyrics
Boss Lyrics by OKELLO MAX
Napenda zile vitu unanipea
Yele yelipea
Napenda zile vitu unanipea
Yele yelipea
Napenda zile vitu unanipea
Okello Max again…yeah
Yele yelipea
Napenda zile vitu unanipea
yelelelelelipea
A-huh! Okay
I got people on my stories who call me joker
Lakini watu wa mtaa wananiita Sol child
(Sol generation)
Na pia kwenye muziki wananiita mamba
Kuna fununu eti pia mi naitwa sniper
Okay uliza manzi yako
So we keep it on the low
Are you ready to go
Nimekuwa nikikutazama
But you already know
Baby keep it on the low
Are you ready to go
Nimekuwa nikikutazama
But you already know
Majina yako mengi na si Ati naforce ei
The name’s Okello Max but you can call me BOSS eeei
Iluonga ni, iluonga ni boss
Sema, iluonga ni, iluonga ni boss, ei
Iluonga ni, iluonga ni boss
Sema, iluonga ni, iluonga ni boss, yeah
No no no no no no
Mashore wote hapa najua wamenikufa
Nashindwa kuchagua ju wote ni wasupa
And all my guys are ballers ndio maana si hutesa
We live life so easy si hatuna pressure ooh
So we keep it on the low
Are you ready to go
Nimekuwa nikikutazama
But you already know
Baby keep it on the low
Are you ready to go
Nimekuwa nikikutazama
But you already know
Majina yako mengi na si Ati naforce ei
The name’s Okello Max but you can call me BOSS eeei
Iluonga ni, iluonga ni boss
Sema, iluonga ni, iluonga ni boss, ei
Iluonga ni, iluonga ni boss
Sema, iluonga ni, iluonga ni boss, yeah
Wananiita rasta ju vile nimewalock
Napiganga za kwaya iwe reggae ama rock
Mangoma nyingi nimejaza kwenye stock
Live wire me ndio electric shock
Traffic lights haziwezi kunistop
Hata mapolisi wanatry tu kucope
Oh no no no no noooo
Hata mapolisi wanatry tu kucope
So we keep it on the low
Are you ready to go
Nimekuwa nikikutazama
But you already know
Baby keep it on the low
Are you ready to go
Nimekuwa nikikutazama
But you already know
Majina yako mengi na si Ati naforce ei
The name’s Okello Max but you can call me BOSS eeei
Iluonga ni, iluonga ni boss
Sema, iluonga ni, iluonga ni boss, ei
Iluonga ni, iluonga ni boss
Sema, iluonga ni, iluonga ni boss, yeah
Napenda zile vitu unanipea
Yele yelipea
Iluonga ni boss yeeeah
Napenda zile vitu unanipea
Yele yelipea
Oooh wuod Pamela
Napenda zile vitu unanipea
Iluonga ni boss yeeeah
Yele yelipea
Napenda zile vitu unanipea
Yele yelipea
Napenda zile vitu unanipea
Watch Video
About Boss
More OKELLO MAX Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl